Money can't buy love. Tusidanganyane

Money can't buy love. Tusidanganyane

Mapenzi siyo pesa Ni kweli
Lakini pesa Ni kiungo (iliki,mdalasini,binzari na kitunguuswaumu)kwenye mahusiano...

Mwanamke hasaa ameumbwa kuhudumiwa hata awe na Mali bado atahidaji huduma za mwanaume ili kukamilisha uanamke wake na kujihisi Ni mwanamke.
Pesa inaleta heshima kwa mwanaume
Pesa inamfanya mwanamke anawiri matunzo
Pesa inamfanya kisirani kipunguwe

Kiufupi wote tutafute pesa
Ila wanaume tafuteni zaidi .
 
Dah!ladies first Ila kwenye pesa ni men's most and first[emoji23][emoji23]
 
Pesa hununua mapenzi acha kujidanganya...angalia mario wanavyozeseka kwenye mpenz..halaf linganisha na katajir wanavyowatesa mabint wazuri...
 
Mapenzi siyo pesa Ni kweli
Lakini pesa Ni kiungo (iliki,mdalasini,binzari na kitunguuswaumu)kwenye mahusiano...

Mwanamke hasaa ameumbwa kuhudumiwa hata awe na Mali bado atahidaji huduma za mwanaume ili kukamilisha uanamke wake na kujihisi Ni mwanamke.
Pesa inaleta heshima kwa mwanaume
Pesa inamfanya mwanamke anawiri matunzo
Pesa inamfanya kisirani kipunguwe

Kiufupi wote tutafute pesa
Ila wanaume tafuteni zaidi .

Tatizo ni kuwa mwanaume ukiwa tajiri, utapata penzi feki, wadada wataigiza wanakupenda kumbe wanafiki watupu Nasiche
 
Kumekuwa na mitazamo kadhaa wa kadhaa kwa sasa katika jamii kuhusu mahusiano na wengi wamekuwa wakisema pesa Ina nguvu Sana katika mapenzi.

Wengi wanaamini kuwa pasipo kuwa na Pesa kwa sasa huwezi kuyafurahia mapenzi utakuwa Kama mwizi aliyeiba naye akaibiwa kariakoo.

Bila Pesa utasikia wanasema huwezi pata mpenzi la hasha. Hata ukimpata mpenzi mapenzi yenu hayawezi dumu ni Kama kujisumbua

Wanawake wa sasa ni Pesa tu. Piga kazi utafute pesa upate penzi ufurahie lakini imani yangu ni kuwa mapenzi ni hisia za kweli kwa mwenza. Pesa inaweza kuwa kigezo cha kupata penzi.
Ni kweli kabisa upendo ni maridhiano kutoka moyoni bila kishawishi chochote
 
Mkuu ivi kweli kuna mtu ambae hana hela halafu akawa na furaha tuanzie hapo. Yaani forget about kuwa na mpenzi upo single ila huna pesa unakuwa huna furaha 24/7. Sasa love hio inakuja vipi kwa mtu ambae hana hela...kiufupi hakuna mapenzi bila hela itakuwa mtu anajifosi tu ila upendo hapo.
 
Hela haiwezi kukupa furaha hata siku na Moja..
Mara nyingi tumeshuhudia familia za kitajiri zikokosa maelewano mazuri baina ya wanafamilia huku familia za kipato cha kawaida zikiwa na upendo na ushirikiano mkubwa
 
Nahisi kuna point inakosekana hapa watu wanashindwa kutofautisha kuwa na pesa kwa ajili ya basic needs na kuwa na mapesa mengi bank.
Mkuu kitu muhimu ni kuwa na hela ya kuwa na basic needs mlo, makaazi, usafiri, kusomesha watoto na matibabu pia. Hili kama lipo upendo utakuepo na mapenzi mubashara. Kama huwezi kumudu basic needs hakuna furaha wala upendo abadan.
Ni kweli mkuu kuna familia za kitajiri hakuna upendo ila kwa reason nyengine za kibinaadamu na kwa kweli familia hizo ukiotolea mfano ni chache mno. Lakini asilimia kubwa ya familia ambazo hazina furaha na furaha ni za wale ambao hawana hela hata ya basic needs.
 
ukiwa na pesa unato mba yoyote yule
acha ujinga dogo tafuta Mkwanja
 
Back
Top Bottom