kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
Unafiki wa kwanza unaanza na yule anayetafuta pesa kwa nguvu ili akazitumie kupata Penzi, Kadiri unavyotumia akili, maarifa na nguvu kuipata pesa basi tumia akili hizo hizo, nguvu hizo hizo kufikiria katika kulitafuta ama kupata penzi.
Kuna ujinga mwingi sana katika matumizi ya pesa kuliko kuzitafuta
GREAT POST, UBARIKIWE