Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Siongei mama macho ya kwenye Avatar au wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JF
Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote
 
Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote
Bwana wa ID na Avatar fake ama

Mimi kwenye maisha ya kawaida hata unichukulie mume halali kabisa hutaona hata nikirusha ngumi

Ya nini kujipa ngeu nikose salamu huko barabarani
 
Back
Top Bottom