Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
jana kulikua na nn shemejimuendelezo wa janaaaaa
jana kulikua na nn shemejimuendelezo wa janaaaaa
Eeeh. Waseme Sakayo mwenyewe hana chura na sura yake kama ya mjomba ake![]()









Sakayo mwenyewe ndio huyu anatumia avatar ya rihana mbaya anatishaMpe pole sanaKumbe imetolewa kwa group aliloingizwa hajui kama kuna watu wa jf umshkuru mbebez wangu sana kwa kutuambia picha inazunguka huko tusingejua wakunyumba

Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mamaMi umbea wangu nampa Shualina tuu![]()


Mh saa ngapi hiyo jamani umenitajia nundu mate yamejaaa ila sasa ndugu niko na majanga napigiwa simu kila mara woiii kama ni usiku itapendeza zaidiKonyooo. Najipanga panga hapa nije Sinza kwenye nundu![]()
Mpe pole sana![]()






Tunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo
Nampenda Shualina Shualina mamaaa jina lake namjua namjua mama![]()







ShualinaaaaaTunajiuliza picha imefikaje jamani ndio kumfata aliyemuingiza kwani group liko na watu wa jf akaambiwa eeenh akaleft hapo hapo



na wewe uko huko kwa GroupTucheke. Sasa hata ukicheka mama angu unaambiwa unachochea.
......mi nilikuwa nabalansisha storeee
Naanzaje mama kwanza utaanzaje unifate uniambie una group lako uniunge pm yenyewe situmiina wewe uko huko kwa Group