Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Watu wengine hawana maamuziHapo sasa. Kama kagombana naye ni yeye mimi hayanihusu.
Watu wengine hawana maamuziHapo sasa. Kama kagombana naye ni yeye mimi hayanihusu.
NakujaNdo maana nimecheka. Njoo whatsapp halafu
Ni kutokujitambua tu.Watu wengine hawana maamuzi
Hivi kuna mtu kawalazimisha kuyaleta jukwaan?Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!
Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu
Kaka angu lazima niende kwa Mwakasege nikapige maombi sio wewe ninayekujuaNahis ameshantengeneza sjielew kabisaaa yaan fanyen Maombi sio bure
Pouwa cute...za jana?Habari ya wewe mama?
Hahaha
Unakuwa na umri mdogo sura ya mamangu .... Akuuuu wacha nicheke







Nimecheka
Namba mbili mchumba angu Don namba tatu kaka angu Mshana namba nne rafiki angu U... simtaji huyu anajijua.









Wala sio kukosa kazi my dear, mie nawaona washamba wa maisha tuu!!!kutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.
Hope you are doing well. Nimekumis mnooo
Na mwisho wa siku lazima yabume tu.
Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko.






Nimecheka kweli la blockMbona mi sipo busy na siwezi nunua ugomvi hata wa nani. Shoga angu Phenomenal woman anakasirikaga akianza kugombana na mtu halafu mi namtetea huyo mtu maana naona kabisa yeye ndo mkorofi sasa namteteajekutokuwa busy nayo inachangia kumkuta mtu ananunua ugomvi. Hivi mtu unawezaje kukosa cha kufanya hadi ununue ugomvi. Let us remain GT mwaya best yangu.
Hope you are doing well. Nimekumis mnooo
Cheka mwaya sura isije ikapata makunyanzi bureeNimecheka kweli la block

