Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
Nikutumie vyura?ID mpya alikuwa ni mimi!![]()
Nikutumie vyura?ID mpya alikuwa ni mimi!![]()
Zaidi ya kiboko mamaJF kiboko kabisa
Itakuwa tembo kabisaZaidi ya kiboko mama

Usinikumbushe group za watu wa JF![]()






Nimekumbuka kitu mambo ya picha najua umekumbuka
Siongei mama macho ya kwenye Avatar auHata uwe mjinga watakutia vidole vya macho uonge tuu


wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JFUzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!!Mi sijanuniwa ila nimekula machungu ya kusingiziwa humu. Yani kuna muda najiona kabisa ntaachana na JF. Maisha yangu yana mengi yanategemea watu aisee. Kuharibu kisa kuna watu wasojua kesho yake siko ready
MmmhNjoo kule acha ujinga sakayo
Hapo sasa. Kama kagombana naye ni yeye mimi hayanihusu.Huo ujasiri mtu anautoa wapi kuanza kukupangia maisha?!
Nitampa jibu moja tu atajuta kunijua.Hii kwa kweli naambiwa kila siku. Usiongee na fulani ndo maana unatukanwa![]()

Hiyo chura yako unayoniringishia kuna siku itatapeliwa tuuu!!Nikutumie vyura?
Kumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hiloSasa si unakuta hana cha kugombana na wewe. Atakuuliza nini hapo.
HahahaKama mm na wewe tukigombana ugomvi wetu asiingilie mtu tutapambana wenyewe
Halafu maisha ni mafupi sana na ni matamu ukinuna nuna unazeeka haraka na kufwaKumbe kaamua kujinunisha tuu ama kunichukia! Hapo sawa, Maisha yana mengi sana ya kufurahia jamani sijui kwa nini hatuonagi hilo
NakaziaUzuri hata akisema hayajiandiki usoni!! Waache waseme tuu kama riziki yako Mungu ndo anayepanga bwana!!
Wakununa anune mpaka akufwe kabisaaa, la mno watu sio oxygen ati nitashindwa pumua!!