Monchwari za mikoani kuna siku hazipokei maiti ila sio kwa Arusha aiseee

Monchwari za mikoani kuna siku hazipokei maiti ila sio kwa Arusha aiseee

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,580
Reaction score
56,800
Unajua kwa mfano kwa mikoa kama ya kwetu midogo Lindi,SINGIDA n.k huenda kuna siku inaweza kupita mtu hajafariki dunia monchwari nyeupe ila kwa matukio ya kusikitisha tunayosikia Arusha sidhani kama kwa siku kunalala dry.Aisee serikali tunaomba muongeze nguvu muanzishe operesheni maalum ya miezi hata mitatu kudhibiti bangi na madawa ya kulevya Arusha.bodaboda ajali wao,kuuana wao
 
Back
Top Bottom