Mojtaba Khamenei achaguliwa kumrithi hayati baba yake…

Mojtaba Khamenei achaguliwa kumrithi hayati baba yake…

Tushasema hakuna kurusha taulo Vita hiiii
sisi tumeingojea sana.
Mtu ajae kwenye mfumo 💥💥💥💥 Tela Aviv kuna sehemu wamelala kizani. Iran inatandika Baba na kamtoto chake.

Ni MOTO💥 MOTO💥 MOTO💥
 
Vipi wakiuwawa wao!!

mana Vita bado mbichi IRAN inatupia sehemu muhimu tu wkt unawinda yumkini ukanasa ww!!

Netanyahu kajifisha kwenye Mapango uku anatangaza nia ya kuuwa wenzie!!
hii vita ndio mwisho wake
 
Lakini Babu Trump akamwahisha Shahidi Ayatollah kwenye mabikra 72 na pombe huko ahera😂
Hiyo ni sasa baada ya vita kunoga, trump anataka viishe,mkwilima wake kaenda Israel Jana,nadhani wanaenda kutoa terms kwa netanyahu
Mafuta yamefika $104
 
Hivi yeye hawezi kuyajenga na TRUMP? waachane na maugaidi na kuacha kuichukia America na Israeli waishi kwa Amani?
 
Hata chadema hapa huitwa magaidi. Ugaidi kwa tafsiri ya wakiristo ni wale waislam waliokata kufata mila zao na kuwapa mali zao wazibaragaze
Ni nani alisema Death to America na Israeli? Kwa nini hawataki kulitambua taifa la Israeli?
 
Proganda za magharibi zimekuzamaa akilini. Kulikua na mapadri na makasisi wakubwa walikua na akili mbovu kuliko wewe. Lkn hivi sasa wapo msikitini wanafanya ibada
Gaidi laZima wauliwe, mtake msitake
 
Au huo ukoo umeamua kufa? Baba kauawa,mama kauawa,sasa mnamchagua Mojtaba Khamenei,huku ni kumwandalia kifo tu.Ingekuwa ni mimi Mojtaba na surrender na kusema sitaki vita
Aende Round Table
WWayamalize Aishi Vema
Migogoro Siyo Mizuri
 
Au huo ukoo umeamua kufa? Baba kauawa,mama kauawa,sasa mnamchagua Mojtaba Khamenei,huku ni kumwandalia kifo tu.Ingekuwa ni mimi Mojtaba na surrender na kusema sitaki vita
Ufalme sasa. Wamuondoshe pumbavu, Trump fanya kazi!
 
Back
Top Bottom