Vita ya iran na Israel ni ya kimkakati.
Wazungu wanatabia siku hizi ikifika mwezi wa ramadhan wanaweka maspika makubwa wakijua wenzao ni mwez kwa kukaa kwa utuliv, unyenyekevu polepole na ukimya na kutubu.
Sasa Makafiri wanaona ni mida wa kuwaletea vurugunchungulia nani kaanza kurusha maneno na makombira yakaanza. utasikia ni mzungu nguruwe.
Katika mazingira ambayo aidha wazungu wanayajua, muislam anayefia vitani wakati huu hata ndg hawababaiki. Ni kwamba amefia vitani. Guess what tena ametoka kufunga mchana usiku anaingia vitani bado tupo kwenye ibada.
Sasa ukizingatia, Israel anagombana kimabavu na waislam wa hammas kuna reverge hapo. Piga yao dhidi Israel ninkimkakati. Iran ni kaka kiranja wa dora za kiislam kwa hiyo hatataka kuwaonyesha wadogo zao uwezo.
lkn pia, Kitendo cha marekani kupigana pia, vita imebeba taswira ya Ukraine vs Russia kwamba Israel kusaidiana na marekani ni kwamba anapigana na maadui sahihi.
Kwa wairan wao hii ni vita ya kiymani