Mojtaba Khamenei achaguliwa kumrithi hayati baba yake…

Ningekuwa mimi huyu jamaa, ningelipa kisasi kwa baba kuuwawa namna ile na mimi najiua.
Marekani na Israel wanatakiwa waongope siku za usoni kufanya walichokifanya, wasiwe na mazoea.
Sio kuwazuia, ila wanatakiwa wafikirie mara mbili kufanya walivyofanya.
Ibaki historia, kwamba Marekani ilifanya hivi na Irani ikafanya vile kwa gharama ya damu za viongozi wake. 😁
 
Televisheni ya Iran imetangaza kwamba Mojtaba Khamenei amejeruhiwa vibaya.

Conspiracy Theory,

"Inawezekana Mojtaba Khamenei, mwana wa Ali na kiongozi mkuu mpya, TAYARI AMEKUFA na alikufa katika shambulio lilelile lililomuua baba yake!
Unamchaguaje kiongozi mkuu ambaye hawezi kuuawa? Unachagua yule ambaye tayari amekufa.
Hapa ndipo sehemu ya kushangaza: Hakuna aliyemwona Mojtaba Khamenei hadharani tangu vita vilipoanza.
Inashangaza sana kwamba hakuna aliyemwona mtu huyu na viongozi hawa wakuu kwa kawaida huwa wanaonekana sana hadharani."

Time will tell!.
 
Kama ni kweli wamechagua kiongozi ambaye ameshakufa itakuwa wametumia akili kubwa sana, hunting to kill a dead person is an impossible task, same as chasing a shadow.
 
Yuko hai wachana na propoganda za USA na Israel yule sliye kuwa anawapa information wameisha mny'onga Ismail Qaan sa nani atawapa information tena.
 
Televisheni ya Iran imetangaza kwamba Mojtaba Khamenei amejeruhiwa vibaya.

Conspiracy Theory,

"Inawezekana Mojtaba Khamenei, mwana wa Ali na kiongozi mkuu mpya, TAYARI AMEKUFA na alikufa katika shambulio lilelile lililomuua baba yake!
Unamchaguaje kiongozi mkuu ambaye hawezi kuuawa? Unachagua yule ambaye tayari amekufa.
Hapa ndipo sehemu ya kushangaza: Hakuna aliyemwona Mojtaba Khamenei hadharani tangu vita vilipoanza.
Inashangaza sana kwamba hakuna aliyemwona mtu huyu na viongozi hawa wakuu kwa kawaida huwa wanaonekana sana hadharani."

Time will tell!.
Tumsu yezu kilisitu
 
Whatever the argument but it's an open fact that the new Iranian supreme leader is living on a borrowed time if indeed he is alive.

Nothing will be left to chance.
 
Back
Top Bottom