Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

Rejea vizuri historia ys Iran ndugu,kwanza hakuna mtu mmoja aliyetangazwa kumrithi Ali Khamenei.Pili Ali Khamenei hana mtoto anayeitwa Mujtaba.Mujtaba Khomeini ni mjukuu wa Ayatollah Ruhollah Khomeini,kiongozi wa waislamu wa Irani aliyempindua Mohamed Reza Pahlav,Shah wa Iran
 
Huyo mojtaba ana roho mbaya kumzidi muuaji Samia?
 
Kizazi cha Khamenei kitaisha na kubaki kuwa sehemu ya historia mbaya duniani.
 
Eye in the Sky...
Siku sio nyingi tutasikia msiba mwingine
 
Ili utulivu urejee Iran na middle east ni lazma Hilo Baraza la Mapinduzi livunjwe na lisambaratike kwa namna yoyote yeyote atakayerithi madaraka na kutaka kuendeleza misimamo ya Ayytolah lazma apokee kichapo tu
 
IRGC nao wataliwa vichwa tuu, waache ufadhiri wa vikundi kama hezbolla na nuclear mambo yaishe
 
na yeye ana undugu na Muhammad pia ? kwa maana khamenei alikuwa na undugu wa moja kwa moja na Muhammad mwanzilishi wa islam ...
Una uhakika au ukafiri unakusumbua? Muhammad Mwarabu anakuwahe na undugu wa moja kwa moja na Mhajemi?
 
Yaani huyu vita ikiendela zaidi wanakula kichwa mapema sana

Tatizo kubwa ninalo liona ndani ya Iran na nchi nyingi za Kiarabu/Islam ni kuwa Mossad wamepandikiza moles kila kona.

Hata akiongoza akiwa chini ya mashimo kama panya watamfikia tu labda akubali matakwa ya Israel/USA
 
Baraza la mapinduzi halina hayo mamlaka
 
Unaandika utumbo unajifanya uko deep sana. Waislamu wa Bonyokwa bana shida sana. Haya bishana na Wikipedia hapa:-
 
Huyo mojtaba ana roho mbaya kumzidi muuaji Samia?
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
 
Kuna Mossad agents zaidi ya 800 ndani ya Iran
 
Wale wahalifu wa Oktoba 29 waliokuwa wanachoma miundombinu walistahili walichopata. Bila risasi wale walikuwa wanaipeleka nchi yetu pabaya
Kwa akili yako CCM na majambazi mengi yaliyoko huko akiwemo mwigulu uliyekuwa unampigia kelele magu amtumbue ndo wanaipeleka nchi pazuri?
 
Huo ndo uwendawazimu. unashambuliwa na Washington unajibu mapigo kwa kupiga Doha.

Kubalini tu Iran bado sana na pia aache kiburi. Watamnyoosha.
Sidhani kama ni uwendawazimu.

Ipo hivi, Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran ame-target military bases za USA zilizopo kwenye nchi hizo.
Hizi military bases za USA zipo karibu na Iran, so zinaweza kutumika kuishambulia Iran kwa karibu zaidi.

Iran kupiga hivyo vituo vya kijeshi vya USA katika hizo nchi, bila shaka ni katika mpango wa Iran wa kujihami na kujilinda.
 
Nao wanakubalije kushika nafasi hizo ambazo kwa maisha yako yote unakuwa unaangalia nyuma ya mabega?

Hata washkaji zako unawaweka kwenye target ya kuwa chambo muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…