wakati baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini wamesahau kauli chofu za jk ambazo zinahoji uwezo wa kuliongoza hili taifa.................mimi nina kumbkumbu zifuatazo ya kauli zilizomshushia heshima jk mbele ya jamii ya watanzania nazo ni pamoja na:-
1) ahadi ya dr. Slaa ya kujenga bullet train itakayo safari masaa matatu toka dar hadi mwanza...............................jk alipokuwa anafunga kampeni zake za uraisi dar alizibeza kwa kusema kuwa............................hayo mawazo ya dr. Slaa................"are absolutely ridiculous".........
Kwa maoni yangu kiongozi who can not dare to dream is unfit to govern.................................the world has always belong to a dreamer irrespective of the final outcome........................................................
Katika karne ya 21 kama huoni tanzania inamiliki bullet train then you must pack your bags and go home.....................because that is where you belong...................
2) alipokuwa kwao bagamoyo, jk alidiriki kuwakandia waathirika wa ukimwi kuwa....................ni kiherehere chao ndicho kimewafikisha hapo walipo.........................................................sayansi inapingana na kauli hii chofu kwenye maeneo mengi......................waathirika wengi wamesogezewa gonjwa hili na wala siyo kuutafuta............hivyo kuwahukumu bila ya kujua sababu za kuupata ugonjwa huo ni kukosa utashi wa zana pembuzi.....................
3) jk ni gwiji wa kulaumu wale wote ambao wanafanya makosa bila ya kujua ya kuwa kama yeye alikuwa ni bora zaidi yao angeliwashauri kabla ya uzembe kujitokeza lakini siyo baada ya matatizo kujitokeza..........................kama mwingereza asemavyo......................are we not wiser afterwards?
kauli tata za jk zipo nyingi anayezikumbuka nyinginezo azibandike hapa.....................................