Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

Sasa wewe umekuja kumponda Rais hapa kwa kukusanya vikumbukumbu vyako visivyokuwa na kichwa wala miguu. Yaani umeishiwa hoja unaanza kuleta chochote kile.

Mwita 25 wewe hutaki kuujua ukweli ulivyo. Kama huwezi kuelewa hayo maelezo basi ni kazi ngumu kuelewa maana hata mtoto wa darasa la pilia ameelewa kuwa kupokea msaada sio kosa maana hata sisi huwa tunatoa msaada. Kumbuka kati ya hotuba za nyerere aliwahi sema kama ikitokea TZ ina njaa na wenye chakula ni makaburu basi atakwenda kupiga magoti wampe. Sembuse na hili la zito ambolo wale wawekezaji wanaendelea kuzungumza jinsi gani watalipa kodi. Wakulaumiwa kuhusu Barrick ni CCM. Sio hivyo vitu vidogo sana vya kujenga shule. Barrick wametoa ilikuwa haki ya wa TZ na walichotoa ni kidogo wanatakiwa watoe zaidi.
 
Wakuu yangu ni haya
1. Aliposema ''kama Ni kura zenu sizitaki'' na kuwafananisha wafanyakazi na mbayuwayu
2. Aliposema follen dsm ni ishara ya maendeleo
3. Mama wajawazito atawanunulia bajaji
4. Katika pitapita zake za uchaguzi mwaka jana; Nakumbuka alipita eneo moja kata ya kirima lilo jimbo la Moshi vijijini akasimamishwa na wananchi wakamweleza kuwa tatizo lao ni kuwa mashamba yao ya kulimia mazao yameuzwa, kwa haraka akajibu ''Si mmeuza wenyewe?'' wananchi wakalalama wakisema waliouza ni viongozi na si wao,nae akjibu kirahis ''serikal itafuatilia''
 
Jk bana alisema"Salaleli waleu wala salam" juzi kwenye baraza la idi
 
hii kauli ya msemaji wa Ikulu ndiyo tata na aibu kwa taifa kulikoni zote................................Rweyemamu adai ya kuwa hoteli za kempnski kule ngorongoro na serengeti zilitolewa vibali wakati wa awamu iliyopita jambo ambalo ni uongo usio na kifani kwa sababu vibali husika vilitolewa wakati JK ana miaka 2 tu pale Ikulu............................sometimes a little white lie is understandable but not a white elephant lie of this magnitude...............................shame on JK really for stooping so low...........................na kuliabisha taifa.........................
 
wakati wa kampeni alipokuwa Lindi anapambana na CUF kwenye masuala la kidini aliwaambia wanambagua yeye kwani yeye ni JOHN.
Hii ni kauli ambayo mpaka hii leo aijapatikana mwandishi hata mmoja kumuuliza alikuwa na maana gani ? mimi nilivyomuelewa ni kuwa alitaka
kuwaambia CUF kuwa wasimbague kwani yeye ni mwenzao na yeye siyo mkristo. kwahiyo hapo anamaanisha kuwa wakristo CUF inaweza
kuwabagua tu isipokuwa wasiwabague waislamu wenzao ???
 
Back
Top Bottom