ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu.
Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji, kutopata elimu, kutosikilizwa madai ya mwanamke, etc
Haya ndio madhara ya kufanya itikadi ya kuletewa na kumezeshwaa izidi utashi binafsi uliozaliwa nao.