Moja ya day out tulizoenda tukiwa chuo

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,059
2,000
Haya bwana. Siku moja tukiwa chuoni tukapanga kwenda day out Prison Island kule Znz. Infact hiyo safari niliandaa mimi. Watu chuoni waliamini I was a party animal like no other na nikikosa mahali basi panapooza. Anyway, siku ikafika tukaenda, tukakodi boti sisi haooooooooooo Prison Island. Tulibeba vyakula vyetu, drinks na bangeeeeeeeeeee. Wale jamaa wa boti freshi sana, tukaweka kijiwe chetu tukapulizaaa ikawa ni kitu kimoja tu. Puff puff and pass. I was so happy. Nikahama kwa wenzangu nikaenda kukaa kule mbeleee alone. Mawimbi yakija narowa mwili mzima ila I was so happy. Tukapiga maji yetu na tulipofika Prison Island wengine tulikuwa tushaanza kunywa. Waliokuwa couples wakajitenga visehemu vyao sisi wengine tukaweka machupa yetu na makopo tukaanza msosi. Sasa ndio tukaanza kunywa vizuuuuriiii. Huku tunaogelea. Sometime tunakutana chini ya daraja tuna puff party inaendelea. Basi tukaanza fun za kila aina. Wengine walishindana kuogelea.... Na mie nikajitia humo humo. Basi tukaamua kuvua nguo ili tuwe wepesi. Tukavua na kuweka pembeni na kubaki na bra na vichupi. Ila chupa za bia hatuziachia. Kata mayi mpaka tukaishiwa. Tukamtuma mwenye boti akatuletee stock upande wa bili wa bahari. Ilikuwa kama saa kumi jioni. Akaenda sisi tukaenda chini ya daraja kutia story na kunywa whisky na kupiga puff. Tukija kustuka nguo zetu zilishabebwa na mawimbi. Mizigo tuloacha ufukweni imeshaenda yooote. Badala ya kusikitika tukajirusha baharini na kucheza kwa fujo na mikelele kibao. Sasa basi. Alipotuma meseji mwenye boti kuwa hatoweza kurudi anaenda kwenye hitma na simu kazima ndio akili ziliturudia. Unguja tunarudije na vichupi ? Kutafuta kuathirika tu! Isitoshe magari yalokuwa yanatusubiri upande wa pili yatupeleke shamba tukalale yameshalipiwa. Boti la kwanza la kuondokea kisiwani, ticket zilishakatwa. Tukawa hatuna jinsi. Tukamfata mwenye hoteli ya pale kisiwani atutumie boti. Tena viboti vyenyewe ni vingalawa. Ilibidi vije jioni baada ya giza na mawimbi yalikuwa makali sana. Wengine wetu tuliwabeba walikuwa hawajui waliko. Kuna wengine walikuwa wanalia tuuuu pombe zao ziliwaelekeza kulia ndio dili. Wavuta bange ndio usiseme. Tukawa tunaimba Country Road, take me home. Hahahaaaaa. At last tulifika salama na kurudi Bongo swalamaaaaaaa. It was a good day.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Mungu kakupitisha mbali! Napata picha kwenye maji na ulevi wa pombe na bhange. Hongera aisee.
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,957
2,000
nilienda prison island na demu wangu xmas ya 2o1o, wale kobe wakubwa wakubwa, was fun
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,866
2,000
Mkuu umenikumbusha mbali sana.. Prison island full moon kendwa chumbe zamani kempiski. Dah kweli naanza kuzeeka!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
duh nyie mlikuwa nomeeer!!! mie nimepati sana ila hiyo steji nahisi niliiruka ....
 
adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,866
2,000
duh nyie mlikuwa nomeeer!!! mie nimepati sana ila hiyo steji nahisi niliiruka ....

Sasa wewe ulifanya starehe gani? Itabd nkupeleke nungwi xmass

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,292
2,000
Haya bwana. Siku moja tukiwa chuoni tukapanga kwenda day out Prison Island kule Znz. Infact hiyo safari niliandaa mimi. Watu chuoni waliamini I was a party animal like no other na nikikosa mahali basi panapooza. Anyway, siku ikafika tukaenda, tukakodi boti sisi haooooooooooo Prison Island. Tulibeba vyakula vyetu, drinks na bangeeeeeeeeeee. Wale jamaa wa boti freshi sana, tukaweka kijiwe chetu tukapulizaaa ikawa ni kitu kimoja tu. Puff puff and pass. I was so happy. Nikahama kwa wenzangu nikaenda kukaa kule mbeleee alone. Mawimbi yakija narowa mwili mzima ila I was so happy. Tukapiga maji yetu na tulipofika Prison Island wengine tulikuwa tushaanza kunywa. Waliokuwa couples wakajitenga visehemu vyao sisi wengine tukaweka machupa yetu na makopo tukaanza msosi. Sasa ndio tukaanza kunywa vizuuuuriiii. Huku tunaogelea. Sometime tunakutana chini ya daraja tuna puff party inaendelea. Basi tukaanza fun za kila aina. Wengine walishindana kuogelea.... Na mie nikajitia humo humo. Basi tukaamua kuvua nguo ili tuwe wepesi. Tukavua na kuweka pembeni na kubaki na bra na vichupi. Ila chupa za bia hatuziachia. Kata mayi mpaka tukaishiwa. Tukamtuma mwenye boti akatuletee stock upande wa bili wa bahari. Ilikuwa kama saa kumi jioni. Akaenda sisi tukaenda chini ya daraja kutia story na kunywa whisky na kupiga puff. Tukija kustuka nguo zetu zilishabebwa na mawimbi. Mizigo tuloacha ufukweni imeshaenda yooote. Badala ya kusikitika tukajirusha baharini na kucheza kwa fujo na mikelele kibao. Sasa basi. Alipotuma meseji mwenye boti kuwa hatoweza kurudi anaenda kwenye hitma na simu kazima ndio akili ziliturudia. Unguja tunarudije na vichupi ? Kutafuta kuathirika tu! Isitoshe magari yalokuwa yanatusubiri upande wa pili yatupeleke shamba tukalale yameshalipiwa. Boti la kwanza la kuondokea kisiwani, ticket zilishakatwa. Tukawa hatuna jinsi. Tukamfata mwenye hoteli ya pale kisiwani atutumie boti. Tena viboti vyenyewe ni vingalawa. Ilibidi vije jioni baada ya giza na mawimbi yalikuwa makali sana. Wengine wetu tuliwabeba walikuwa hawajui waliko. Kuna wengine walikuwa wanalia tuuuu pombe zao ziliwaelekeza kulia ndio dili. Wavuta bange ndio usiseme. Tukawa tunaimba Country Road, take me home. Hahahaaaaa. At last tulifika salama na kurudi Bongo swalamaaaaaaa. It was a good day.
naimagine wanao watakavokuwa wanakamatwa kwa uongo!ahahahahhahahhahhahahah Karucee una mambo weye!kha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom