GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Si ndio maana wamemuachia Muhimbili yake hawana shida na mshahara wake akawaleta hao wa Iran waliomhonga suti watibu wananchi
Kwani afya ya Ulimboka ni muhimu sana kuliko afya za wagonjwa walioko hapo muhimbili?
Msimamo mbona JK aliisha utoa kwenye hotuba yake ? alisema hawana haja yakugoma na kumsumbua mwajiri kuwaandikia barua nk, wao waache kazi waende kwenye maslahi bora wayatakayo,.....
Homa inapanda na kushuka,
Wananchi sasa ndo watagoma barabarani kwa niaba ya madokta
Hayo maslahi wanayoyataka Rais JK aliisha waambia hayawezekani, na akawapa na suluhisho kuwa kama hayawezekani na wao waache kazi, mbona kitu ni rahisi tu na ww kwa nn usitumie muda wako kuwashauri waache kazi tu?
Waandike barua kwa nani wao siwameondoka Huyo Mbuzi wako Kikwete si awafukuze hana jpya amebaki kutumbua mimacho he has failed the nation poor leaderWell done , ndivyo wanavyotakiwa kufanya na mie nawapongeza kwa hatua yao hiyo, ila mpaka sasa hakuna aliyeandika barua yakuacha kazi , na naomba uwashauri sasa waandike barua ili km kuna mafao yao yaweze kuwa processed , wapewe na waondoke wakatafute maslahi wayatakayo.
Hayo maslahi wanayoyataka Rais JK aliisha waambia hayawezekani, na akawapa na suluhisho kuwa kama hayawezekani na wao waache kazi, mbona kitu ni rahisi tu na ww kwa nn usitumie muda wako kuwashauri waache kazi tu?
msiongee kwa ushabiki angalieni hali halisi hata hao anajeshi wenyewe wanahali mbaya usifikiri kuwa wanaraha sana. Taaluma za watu ziheshimike sasa wanateua hospitali ya Lugalo kuwa ya Rufaa je inawataalamu wenye sifa za Rufaa? wanavifaa? Kama walishindwa kununua vyombo kuweka muhimbili je wataweza kuweka Lugalo? Ama nini maana ya Hospitali kuitwa ya Rufaa?
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
Waache kazi kwasababu ya udhaifu wa mtu ambaye ameshindwa kutawala?Msimamo mbona JK aliisha utoa kwenye hotuba yake ? alisema hawana haja yakugoma na kumsumbua mwajiri kuwaandikia barua nk, wao waache kazi waende kwenye maslahi bora wayatakayo, shida iko wapi ? na kwa nn usiwashauri wafuate ushauri wa Rais wakuacha kazi?
Nadhani sio kujiunga tena na mgomo, la hasha mgomo bado unaendele na hukuwai kwisha toka umeanza!!!! na kwa sasa Lugalo imepewa hadhi ya hospitali ya rufaa....haaaa!!! kuokoa jahazi....!!!!
7.7 m kwa alietoka direct from school, je mwenye miaka 30 ya uzoefu analipwa shilingi ngapi?
Tafakari chukua hatua
say no to boycott, say no to mob psychology
say yes to humanity, say yes to logical thinking
Vip ule Mgomo wenu wa Sensa bado mmeshikilia ule msimamo wenu? Naona lile zoezi lenu la kujihesabu limekuwa gumu mlikuwa mnafikiri zoezi la sensa ni sawa na kuhesabu vikombe vya kahawa na kashata?
Nasisitiza
Hakuna mgomo muhimbili, after all wagonjwa wa rufaa wanapelekwa LUGALO.
Mimi na familia yangu tunawaunga mkono, komaeni.....................Ni baada ya mabadiliko ya hali ya Ulimboka.
Wagonjwa waliokwishalipia tu ndo wanaonwa leo.
Emergence yasimama.
Source: Mimi niko ground zero