Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Mgonjwa Silas Tipugi (anayenyweshwa uji), akihudumiwa na ndugu zake wakati akisubiri kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam jana.Tipugi, alivunjika kiuno katika ajali ya gari.Kumekuwa na huduma isiyoridhisha MOI kutokana na mgomo wa madaktari wakishinikiza maslahi zaidi.(PICHA:MOSHI LUSONZO)