Muulize baba yako kwani nae ana haki ya kupokea posho nzito wakati mishahara ya hao unaowauliza ni kiasi hicho?hivi wenye haki nchii ni madaktari tuuu au mbona polisi wapambana na majambazi watu hatari ,lakini mshahra laki na nusu ,mbona hawagomiii?.hapo ni uzalendo tu haupo kwa hao watu wa afya .