Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
sasa chuki ya nini?
kwanini uchunguzi wa awali umeegemea sehemu moja? eti inaonesha ajari imesababishwa na mwendo kasi kwani basi lili buruza gari ndogo kwa mita 120 hivi kwanini uchunguzi wa awali usipime Conc of Alcohol in the Blood za wale waliokesha kwenye sheerehe? ok nimawazo tu kwani si kila dereva anaujuzi xaidi ya abiria' Hivyo hata hao mapolisi wajue kuna wanaujuzi wa kazi za upolisi kuliko wAo mapolisi so acheni Evidence Tampation .try to be fair bhana kwani hiyo inaonesha kabisa ime eat on your side
sio polisi hawa wa CCP moshi,polisi wanaofanya kazi kwa hisia bila reasoning,wanafanya kazi na media,ww fikiria matukio mangap yanayotokea hata asiye na elim ya upelelez anaweza kuyafanya,polis ambao wanamkamata mtu ana dawa za kulevya,anazinya then wanaanza kusema upelelez unaendelea,mxiuuuuu wafe tu,
Ni Dreva wa Corolla ndio chanzoHatujaelezwa bado mazingira ya ajali yalikuwaje. Wengi wetu tunakuwa na pupa na kumlaumu dereva wa basi, lakini inawezekana ajali ilisababishwa na dereva wa hiyo Corolla.
Picha zinatisha sana kwa kweli!Ni sahihi kabisa walikuwepo Askari aliyetambulika
Mungu hawasamehe,Mohamed Trans Imewachinja kabisa vichwa vyote vimepasuka!Chanzo cha ajali ni Mwendo kasi wa Magari yote Mawili.....Kwa niaba ya Askari wote na itifaki imezingatiwa Tunatoashukrani za dhati kwa wote walioshiriki kuwatoa marehemu kwenye gari na kuwapeleka chumba cha kuhifadhia Mahiti!Kwa kweli ni msiba mkubwa ndani ya mkoa wa Dodoma esp ktk wilaya ya kongwa walipokuwa wakifanyia kazi,Mungu hatusamehe dhambi zetu!
- SGT Adolf,
- D/c Evalist,
- D/c Deogratious,
- Wp jac na
- Wp jema!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hivi tusipokua na polisi utaweza kumiliki kitu kuanzia kifaa unachotumia kutumia huu ujumbe hadi ulichovaa? Fikiria tena hiki ulichoandika...!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Hivi tusipokua na polisi utaweza kumiliki kitu kuanzia kifaa unachotumia kutumia huu ujumbe hadi ulichovaa? Fikiria tena hiki ulichoandika...
Bad enough hawa dudes wamejijenea ukuta na jamii hadi wanasahau wao ni sehemu ya jamii nje ya uniform...
me siwapend polisi mkuu siwapend sana,na nshawai kulishwa ban kwa kutoa hisia zangu dhidi ya hawa madhwalim,wafe tu tena wafe kidhalili kabisa
!
!
hawa jamaa mikosi sana yani duh.....ukikutana nao badala ya kujihisi uko safe unatakiwa kuwa tayari kwa lolote. Hawakawii kukuletea utemi, siwapendi sana hawa wtumishi sana yani sana
Basi la Mohamed Trans limehusika kwenye ajali na gari dogo lililokuwa limebeba askari polisi na kuwauwa watu watano ambao wote ni askari polisi.
Askari hao walikuwa wanatoka kwenye sherehe yao muda wa saa 11 asubuhi ya leo eneo la mtumba nje kidogo ya manisapaa ya Dodoma.
...umenena mkuu.
Mohamed Trans wanatabia ya kutoa rushwa..., hasa mabasi yanayotoka mkoani' hawapendi kulala njiani.
Unawachukia walinzi wako? Hawa ni wnanchi wenzetu japo ikifikia kwn siasa wanakuwa wabaguzi wakiwa kwn uniform. wakizivua wanaongea ukweli! Wana utu sana na ni waelewa.!
!
yaani haijalishi ila kwa ninavyowachukia hawa watu, Mungu tu anajua
Unawachukia walinzi wako? Hawa ni wnanchi wenzetu japo ikifikia kwn siasa wanakuwa wabaguzi wakiwa kwn uniform. wakizivua wanaongea ukweli! Wana utu sana na ni waelewa.
Hivi walitoka kula bata marehemu?