Mohamed Trans laua Polisi watano!

Mohamed Trans laua Polisi watano!

!
!
pamoja na ubinadamu, ukudadeki na unini sijui......hata wangekufa kituo kizima poa tu. Mbwa kabisa hawa. Yani nikisikia polisi kafa,tena kafa kwa maumivu makali huwa nafarijika sana. ***** sana hawa.
Rushwa zimewajaa kama nini, yani mie siwapendi mpaka basi.
Nikikuta nyoka anapambana na polisi ntamsaidia nyoka.
Una matatizo ya kisaikolojia sio bure.
 
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!

Pole pot. Hapa Kongwa walikokuwa wanafanyakazi marehemu,mji wote umezizima. Tumepoteza rafiki zetu, ndugu zetu na walinzi wetu .
R.I.P MAKAMANDA.
 
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!

hiv deo si yule store keeper b coy? Jema na jack walikua coy gan? Na ww mkuu? Mi nlikua kwa mmarekan
 
waliobaki watafakali lazima mmoja kati yao atakuwa alikula fedha kwa mpemba
 
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!

yaan hao rafiki zako ingawa wamepata ajali ningepita na Lori ningepita juu tena,nyie polis nawachukia sana,na mtakufa kidhalili maana sisi hatuna risasi,bado ww sasa
 
.mh...mohd trans tena ....?

wewe acha hizo! Ajali ngapi zimetokea hapa nchini? Je! Zilihusisha mohamed trans? Uliza police au sumatra wakupe takwimu sahihi! Hukusikia ya tanga, mbeya, dar? Hawa unaambiwa wamekesha kwenye tafrija! Mambo ya tafrija yanafahamika! Alfjiri wamekurupuka kurudi kongwa! Je! Hawakuwa na mnin'ginio wa kilevi? Acheni polisi wenyewe watupe taarifa sahihi zisizo na upendeleo!
 
suleiman pole usiwe na jaza,Mohamed Trans ni moja ya kampun ambazo zinasababisha sana ajali,au zinapata sana ajali,na pia madereva wake wanakimniza magar hsaaaa
 
Yule Polisi wa Dodoma aliye mshoot Mwangosi naye alikuwepo kwenye gari hiloo?
 
mwenye kujua majina yao please!

evarist bukombe mzaliwa wa kigoma
adolf mwenyeji wa kongwa,
gemma luvinga mwenyeji wa iringa
deo mwenyeji wa mpwapwa
na jackline wa moshi,wote walikuwa askari wa wilaya ya kongwa
 
JK atangaze mapumziko kuomboleza bana...msiba huu ni mkubwa sana na wa kitaifa aisee

.........wangekuwa na shein ngoma ingepigwa mapumziko ya siku mbili,pekeyake anaona noma.....
 
!
!
pamoja na ubinadamu, ukudadeki na unini sijui......hata wangekufa kituo kizima poa tu. Mbwa kabisa hawa. Yani nikisikia polisi kafa,tena kafa kwa maumivu makali huwa nafarijika sana. ***** sana hawa.
Rushwa zimewajaa kama nini, yani mie siwapendi mpaka basi.
Nikikuta nyoka anapambana na polisi ntamsaidia nyoka.

Huku three sixteen atakuwa ni mhalifu sugu. Hii ni ajali tu. Lakini naming pia ni mchovu sana. Kwani mara nyingi wachovu wanafurahia sana mtu anapopata maafa. Mhurumieni tu
 
suleiman pole usiwe na jazba. Mohamed Trans ni moja ya Kampun ambazo zinasababisha sana ajali au zinapata sana ajali na pia madereva wake wanakimbiza magari sanaaa

Hapo kwenye red inaonekana huna uwakika na unachozungumza. Kama zinasababisha ajali tupe orodha ya ajali ilizobabisha na nani alikuwa chanzo kati ya Kampuni kama Kampuni na Madereva husika waliokuwa wanaendesha. Rejea post yangu namba 67 kwa maelezo zaidi.

Pili, gari kupata ajali siyo sababu ya kufungia Kampuni. Kinachoangaliwa chanzo cha ajali. Aidha, kama ni madereva ndiyo wanakimbiza sana magari kufungia hayo magari (yaani Kampuni) haitasaidia kwa sababu Kampuni ikishafungiwa madereva wataenda kuomba kazi kwenye Kampuni zingine na wataendelea kukimbiza na huko kama kawawaida. Sasa sijui utashauri tena na hiyo Kampuni ys pili nayo ifungwe au vipi. Na je na yenyewe ikifungiwa madereva wakienda kuajiriwa kwenye Kampuni ya tatu na yenyewe ifungiwe? Mwisho wa siku tutafunga Kampuni ngapi? Jibu ni rahisi katika mazingira ambayo ajali zinasababishwa na Driver personnel Deficiency wanaotakiwa kufungiwa ni Madereva maana wana leseni ambazo tuliambiwa zinakuwa manageable na system ambayo ina-track Driver records za uendeshaji.
 
Back
Top Bottom