believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
hawa wachache sana
walikuwa watano
hawa wachache sana
Hapo kwenye red inaonekana huna uwakika na unachozungumza. Kama zinasababisha ajali tupe orodha ya ajali ilizobabisha na nani alikuwa chanzo kati ya Kampuni kama Kampuni na Madereva husika waliokuwa wanaendesha. Rejea post yangu namba 67 kwa maelezo zaidi.
Pili, gari kupata ajali siyo sababu ya kufungia Kampuni. Kinachoangaliwa chanzo cha ajali. Aidha, kama ni madereva ndiyo wanakimbiza sana magari kufungia hayo magari (yaani Kampuni) haitasaidia kwa sababu Kampuni ikishafungiwa madereva wataenda kuomba kazi kwenye Kampuni zingine na wataendelea kukimbiza na huko kama kawawaida. Sasa sijui utashauri tena na hiyo Kampuni ys pili nayo ifungwe au vipi. Na je na yenyewe ikifungiwa madereva wakienda kuajiriwa kwenye Kampuni ya tatu na yenyewe ifungiwe? Mwisho wa siku tutafunga Kampuni ngapi? Jibu ni rahisi katika mazingira ambayo ajali zinasababishwa na Driver personnel Deficiency wanaotakiwa kufungiwa ni Madereva maana wana leseni ambazo tuliambiwa zinakuwa manageable na system ambayo ina-track Driver records za uendeshaji.
Huku three sixteen atakuwa ni mhalifu sugu. Hii ni ajali tu. Lakini naming pia ni mchovu sana. Kwani mara nyingi wachovu wanafurahia sana mtu anapopata maafa. Mhurumieni tu
Chacha mura ile post yako namba 67 nilikupuuzia maana niliona umekurupuka,na hapa unazid kukurupuka. Kampuni inaweza kufungiwa kwa kuajiri madereva wazembe,dereva anayejitambua hawezi kuendesha gari bovu, hapo dereva na kampun wote wana wajibika. Kampun inakwepaje hapo?
JK atangaze mapumziko kuomboleza bana...msiba huu ni mkubwa sana na wa kitaifa aisee
Hivi Dereva anakuja kuomba kwako kazi, ana Leseni 'Class C' na ana Cheti cha Driving kutoka NIT utamjuaje ni Mzembe? Ishu ya kuendesha kuendesha gari bovu nakubaliana na wewe. Tatizo langu ni pale uzembe wa Dereva unafanywa kuwa uzembe wa Kampuni (Mfano kufanya overtaking za kijinga na kuzidisha speed sehemu ambazo unaruhusiwa kuendesha up to a certain maximum speed limit.
Kumjua dereva mzembe ni rahisi sana,hebu fuatilia usaili wa madereva wa serikalini,then jiulize Bus owners wanatumia?
unamisemo kuliko hata "rais""TII SHERIA BILA SHURUTI"
Wote mnaoshabikia vifo vya askari hawa inaonekana ni wahalifu kwani siku zote ukiona mtu anachukia polisi ujue ni mhalifu pia waheshimuni polisi vingine a reasonable force can be applied upon you, nazi haishindani na jiwe never
Hakuna mwaka unao pita hivi hivi bila kusikia bus za mohamed trans zimehusika kuua...hii kampuni sijui ni ya majini? wanapenda kuona damu za watu zinamwagika sana.
pole shosti sio kila mahali malaria ipo... Kama unayo kajitibu usijefia kwenye keyboard za ofisi wahi kwa docNahisi una malaria! Tena ni Pf!!
Hao wanaitwa policccm, na walipaswa wawe lindoni, wakatoroka lindo na kwenda kunywa tusker shereheni. Ndo matokeo yake hayo-ukipanda haba utavuna haba.
By the way kufa kufaana. Wauza majeneza watauza pia replacement itafanyika before 2015.
Bus kuua ni habari, ila bus kuua polisi ni habari ya kusisimua zaidi.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
"TII SHERIA BILA SHURUTI"
Wote mnaoshabikia vifo vya askari hawa inaonekana ni wahalifu kwani siku zote ukiona mtu anachukia polisi ujue ni mhalifu pia waheshimuni polisi vingine a reasonable force can be applied upon you, nazi haishindani na jiwe never
AMEN
Pumzikeni kwa AMANI
Najua unawachukia kisiasa tu na wala sio wamekuonea wewe binafsi, lakini kumbuka nao ni wapiga kura pia.!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Samahani! Tutupie japo kapicha!
umefanya risech????me sijawai kukanyaga kituo cha polisi kwa kosa lolote,ila polis siwapend,naamin kwa Iman yangu Mungu ipo siku ataichukua roho yangu,ila hawa polisi aendelee kuzinyofoa tu roho zao,tena wangekufa 50 as na zaid