Mohamed Trans laua Polisi watano!

Mohamed Trans laua Polisi watano!

Duh!😱 hatari namna hii.
Hiyo saa 11 hilo bus lilikuwa linatoka wapi? Maana sie Sumatra tujuavyo mabasi yanaanza safar kote nchini saa 12 alfajiri.
Huenda halikuanzia safar DODOMA,ila aaah POLISI,WAFE TU,I HATE THESE GUYS EVER INGAWA ME SI MWANASIASA
 
Hili basi la mood ni jini linapenda sana damu za watu pumzika kwa amani asikari
 
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,

go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu

hapana hapana! Wewe ubinadamu umekutoroka. Inamisha kichwa fikiri halafu kiinue angalia juu umwombe Muumba wako akuhurumie na akusamehe!
 
katika hao walio dead cjui matraffic watakuwemo?nataman kujua hilo
 
Sio saa 11 alfajiri, ni saa6 usiku askari walikua wanatoka kwenye sherehe ukumbi wa chuo cha mipango( Possibly intoxicated) wanaelekea Chamwino ndo wamegongana uso kwa uso na Mohamed Trans, wao walikua watano kwenye Corrola. Wote wamefariki. ME 3 na KE 2,

source: David Misime, RPC Dodoma
 
Bus kuua ni habari, ila bus kuua polisi ni habari ya kusisimua zaidi.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Bad enough hawa dudes wamejijenea ukuta na jamii hadi wanasahau wao ni sehemu ya jamii nje ya uniform...
 
Duh!😱 hatari namna hii.
Hiyo saa 11 hilo bus lilikuwa linatoka wapi? Maana sie Sumatra tujuavyo mabasi yanaanza safar kote nchini saa 12 alfajiri.


Swali nzuri sana! ndyoko kuja na jibu chap chap!
 
Last edited by a moderator:
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,

go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu

unafurahia kifo cha mwenzio!!? Kumbuka kifo ni haki ya kila mtu na hujui utakujafia mikonon mwa nan? Kumbuka hujafa hujaumbika hao hao unaowachukia leo ipo siku bila kujua watakuja kuwa msaada mkubwa kwako au wakomboz wako inaweza usiwe ww lakin mke wako, mtoto wako, baba yako mama yako au ndugu yako........... Hv katiaka ukoo wako wote hakuna askar polis?
 
Back
Top Bottom