SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,032
Leseni mpya ndio zimezidisha zaidi ajali,tofauti na tulivyoambiwa wakati wa uzinduzi wake
unajaribu koanisha nini,naiona pointi yako wazi wazi,kuwa dereva wa bus ndio mwenye makosa,maana huyo driver wa polisi sidhani hata kama hiyo leseni yake n mpya ,kwanin unakuwa mvivu wa kusoma na kutafakari.kila kitu kipo wazi tukirudi kwenye sherehe na kukuta makreti ya bia wazi -dereva wa bus hatakuwa hana makosa,tume huru ya uchunguzi iundwe na mashuhuda washirikishwe ukwel utajurikana DEREVA GAN AKUWA MWANGALIFU ZAIDI