Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Wa kusoma,
Umesoma hiyo tayari ushafunga ubongo wako.
Hapo nazungumza kuhusu dharau.

Labda nikuulize.

Wanaweza maaskofu wakafungwa Tanzania Bara kisha wakatolewa
na kupelekwa Zanzibar kufungwa na huko wakalawitiwa na Waziri
wa Mambo ya ndani kuulizwa akajibu uchunguzi utafanyika lakini
wataangalia kama maaskofu hawakuwa wanafanya vitendo hivyo
kabla?

Majibu haya ndani ya Bunge.

Anaweza kuingia nchini Mkristo na vitabu kutoka Vatican akaulizwa
kwa nini unaingiza vitabu vya Pope nchini?

Yuko mwenye ujasiri huo?

Rejea kwenye maneno yangu upya na jifungue kamba ulizojifunga ili
utazame picha kubwa ya sakata hili lote.

Ipeleke akili yako kwenye, ''kibri,'' na ''kupuuza.''
Ondoka huko kwenye fikra za, ''uonezi.''
 
Mpaka hapo ulipoishia ni kuwa message yako inalenga kwenye udini..! acha udini mkuu na propaganda za chuki dhidi ya muislamu na mkristu.
REJEA.

Nakuapieni nyie msingethubutu kumkamata Mkristo anaetoka Vatican mkutanoni. Lakini kwa kuwa mie ni Muislam sina wa kunitetea. Nchi hii nani atakuuliza kwa kumnyanyasa Muislam?” Walishtuka na wakawa wanyonge sana wakasema si kweli kuwa naponzwa na dini yangu.
Kwa kuwapotosha watanzania saivi kidini unaweza ukafeli labda kwa watu wasio jielewa kaka mkubwa, kwa sababu miasha ya sasa hata ukiomba kuomba kazi kwa mkristo au muislam unapata bila kiegezo cha dini bali niviegezo vingine.
 
Hivi maana ya "mdini" ni nini?
Maalim Faiza,
Nakuwekea hapa kisa kilichotokea Bukoba na Kigoma mwaka wa 1963 katika uchaguzi wa serikali za mitaa huenda labda likasaidia kujibu swali lako:

''Tarehe 11 Machi, 1963, Kamati Kuu ya TANU iliyokutana Dar es Salaam ilipiga kura kuvunja kamati ya wajumbe kumi na moja ya Baraza la Wazee wa TANU chini ya Mwenyekiti wake Idd Tulio. Wazee walikusanyika katika ukumbi wa Arnautoglo na wakasomewa uamuzi wa Kamati Kuu ya kulivunja Baraza la Wazee.

Taarifa ilisema wazee hao ni kero kwa sababu ''dini na siasa vilikuwa vitu viwili tofauti na hawa wazee walikuwa wanachanganya dini na siasa.'' [1] Hiki kilikuwa chombo cha ushauri ambacho wajumbe wake wote walikuwa Waislam; chombo kilichokuwa ndani ya TANU ambacho kilimuunga mkono Nyerere na TANU tangu siku za mwanzo kabisa, kwanza chini ya uongozi wa Sheikh Suleiman Takadir na kisha chini ya Idd Tulio baada ya kufukuzwa kwa Sheikh Takadir kutoka TANU.

Wakati haya yote yakitendeka Kanisa ambalo wakati wa kudai uhuru lilijiweka mbali na halikutoa msaada wowote sasa likawa linanyemelea kujiingiza katika siasa likiwa na agenda yake: kuwaweka viongozi Wakristo katika nafasi za uongozi na kuutoa nje ya uongozi Waislam ambao Kanisa liliwaona hawana elimu.[1]

Jumuiya za Kiislam kama Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na EAMWS zilikuwa sasa zinapigwa vita na serikali ya Nyerere kama vyombo ambavyo havikuwa na umuhimu wowote katika Tanganyika mpya. Katika kumuhakikishia utiifu wao juu yake, Waislam walijitahidi mwisho wa uwezo wao kuziweka taasisi zao kando na chuki za kidini dhidi ya Wakristo.

[1] Juhudi hizi hazikuthaminiwa. Serikali ilifanya juhudi za siri kuhakikisha kuwa jumuiya zote za Waislam zinapigwa marufuku. [1]

Huu ndiyo ukawa mwanzo wa kampeni za kufuta historia ya Uislam katika TANU na mwisho wa Waislam kuwa na sauti katika siasa baada ya uhuru kupatikana. Baada ya kupatikana kwa uhuru, ile nguvu ya Waislam iliyotumika kupambana na Waingereza kuleta uhuru, ikaonekana haina maana yoyote na haifai kitu tena.

Kuvunjwa kwa Baraza la Wazee ndiyo ilikuwa kishiko cha mwisho cha Waislam katika TANU. Baada ya hapo Kanisa lililokuwa pembeni wakati wa kudai uhuru sasa likajitokeza waziwazi kuwapiga vita Waislam katika TANU. Katika kitendo ambacho Kanisa halikupata kufanya, Kanisa Katoliki Bukoba liliteua wagombea wake wenyewe wapambane wa wagombea Waislam walioteuliwa na TANU kugombea nafasi katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kanisa lilisema limeweka wagombea wake binafsi kwa kuwa wana elimu kupita wagombea wa TANU Waislam. Kampeni kama hii ilifanyika vilevile Kigoma. Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa Nyerere, serikali au TANU yenyewe ilichukua hatua zozote dhidi ya Kanisa kwa kuchanganya ''dini na siasa.''

(Haya ni kutoka katika kitabu cha Sykes)

Ikiwa wana jamvi mtapenda naweza kukuwekeeni hapa historia ya harakati za kudai
uhuru Bukoba muone vipi ghafla mambo yalibadilika baada ya uhuru 1961.
 
Sasa huo udini tatizo langu au lako? Au tatizo lako ni Uislam? Funguka tu.

Maana mimi nikii quote biblia au Qur'an ni mdini? Wewe uki i quote biblia au Qur'an au useme huviamini vyote na u mpagani basi si mdini? Fikiri.
Sina tatizo la uislam kwanza naupenda. Kumbuka niliwahi kukutaka maoni yako kuhusu Hon. Minister Louis Farrakhan (Leader of Nation of Islam) wewe haraka haraka ukanijibu niachane naye ukitoa sababu kwamba wale ni 'Cult'. Nilijua ulisema tu bila kufuatilia kwa undani. Huyu Bwana ni Muislam, amenifanya niokoke kwa imani yangu na amenifanya niupende uislam.

Ninapokwambia wewe ni mdini si kwa sababu una quote quran au bible ni pale unapoonyesha wazi wazi kwamba mifumo yetu hapa nchini ina ubeba ukristo na kuudunisha uislam huku ukiacha factors zilizo wazi kuhusu hilo (Mama Ndarichako unajua mwenyewe unavyomchukulia hususan alipokuwa necta). Again bado nakupenda kwa nondo zako nahisi kama utatumia uelewa wako ukaacha kuegemea unakoegemea basi wewe ni hazina kwa wengi na ndio maana ulipopigwa ban tuliandamana humu ndani kwa njia mijadala. Love you so much
 
Weka ushahidi wa hicho unachokisema kuwa nilikisema mimi, usini "quote out of context".
 
Weka ushahidi wa hicho unachokisema kuwa nilikisema mimi, usini "quote out of context".
Naomba tuishie hapa nilidhani huwa unakumbuka unayolumbana na members wengine humu ndani. Endelea kutuletea nondo za maana humu ndani
 
Wewe unaniwekea maneno yako halafu unasema yangu.

Kimekushinda nini kuweka ushahidi?
 
Mkuu Mohammed Said
I believe the JF audience isn't the right one for you. You deserve more. You deserve intellectual and well polished minds other than the one in JF. You are such a renowned thinker who needs a high profile intellectual audience than wasting your precious time with so many hopeless and uneducated brainless junkies here in JF.
I'd expect someone like you who is an active member and contributor of library of congress to exchange ideas with the likes of world class renowned scholars and great thinkers of the likes of Reza Aslan, Fareed Zachariah, or any other Pulitzer award winners instead of wasting your precious time with the JF audience
 
Back
Top Bottom