Mohamed Morsi: The new Egypt President!

Mohamed Morsi: The new Egypt President!

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Wanajf fungueni CNN wenye access yaani Tahrir imefurika wananchi wansubiri matokeo ya Urais, chama Muslim brother hood chatishia kufanya maandamano yasiyo na kikomo. Patamu hapo let wait and see. Matokeo yanatarajiwa saa 1300GMT

UPDATE:

Mohamed Morsi of the Freedom and Justice Party, the political arm of the Muslim Brotherhood, has been declared to be Egypt's president.!
 
Wanajf fungueni CNN wenye access yaani Tahrir imefurika wananchi wansubiri matokeo ya Urais, chama Muslim brother hood chatishia kufanya maandamano yasiyo na kikomo. Patamu hapo let wait and see. Matokeo yanatarajiwa saa 1300GMT

cnn kwekweeekweweeeeeee
 
egypt announces results of presidential election you can watch it on CCTV NEWS LIVE
 
Nani kashinda? Mubarak au Muslim Brotherhood?
 
Huu ni uchakachuaji mkubwa sana. Matokeo bado hayajatangazwa update za Wikileak zinasomeka hivi

"Mohamed Morsi Isa al-Ayyat (Arabic: محمد مرسى عيسى العياط‎, IPA: [mæˈħæmmæd ˈmoɾsi ˈʕiːsæ l.ʕɑjˈjɑːtˤ], born 20 August 1951) is an Egyptian politician who has been Chairman of the Freedom and Justice Party (FJP), a political party that was founded by the Muslim Brotherhood after the 2011 Egyptian revolution, since April 30, 2011.[SUP][1][/SUP] He is standing as the FJP's candidate for the May–June 2012 presidential election. From 2000 to 2005, he was a Member of Parliament. The Muslim Brotherhood's tally of results in the June 2012 runoff election claims that Morsi was elected President of Egypt, though the official result has yet to have been announced,[SUP][2][/SUP] and the preliminary results are within the margin of error. For his part, Morsi's opponent, Ahmed Shafik, is also claiming victory in the election.[SUP][3][/SUP] After committing a fraud in the second elections, he became the president of Egypt on June 24, 2012."
 
Mohamad Morsi from Muslim Brotherhood wins. Tahrir imelipuka
 
Mohammed Mursi (Muslim Brotherhood) 13,230,131 votes (51.73%)

detail

Ahmed Shafiq 12,347,380 votes (48.27%)

Ahmed+Shafiq+(2).jpg

More at BBC News - BBC News Channel
 
Kwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Misri, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama chenye mlengo wa Kidini cha MUSLIM BROTHERHOOD, Mohamed Morsi ameshinda.

Swali: Je, Misri nchi kongwe kabisa Duniani ambayo mpaka leo ni nchi maskini, kwa mwelekeo huu imepiga hatua au inarudi nyuma?
 
Hiyo haijatulia kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!:amen:
 
Kwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Misri, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama chenye mlengo wa Kidini cha MUSLIM BROTHERHOOD, Mohamed Morsi ameshinda.

Swali: Je, Misri nchi kongwe kabisa Duniani ambayo mpaka leo ni nchi maskini, kwa mwelekeo huu imepiga hatua au inarudi nyuma?

kwani kuna nchi ambayo kiongozi wake hana mlengo wa kidini ??? hata ukomunisti ni mlengo wa kidini usioamini mungu
 
Haya ... tusikilizie kama Dr. (wa kupewa) JK atajipeleka kushuhudia kuapishwa Prof. Dr. Eng. (wa ukweli) Mohamed Morsi
 
Kwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Misri, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama chenye mlengo wa Kidini cha MUSLIM BROTHERHOOD, Mohamed Morsi ameshinda.

Swali: Je, Misri nchi kongwe kabisa Duniani ambayo mpaka leo ni nchi maskini, kwa mwelekeo huu imepiga hatua au inarudi nyuma?
Huko walikotoka walikuwa wanaenda mbele au wanarudi nyuma !?
 
Wakee Mkao wa Kuchezea Kichapo kutoka kwa Israel manake hao walikuwa na Mpango mzima wa Kuisumbua kuichokoza na Kufuta uhusiano wote na Israel...
 
Dah, tofauti ndogo. Mchuano ulikuwa mkubwa sana, patatulia?

Mkuu patatulia sana. Ahmed Shafik hizo kura si zake, unaweza kuta real votes kwake ni 35%. Ahmed Shafik ndiyo alikuwa anatakiwa na Army ili kulinda maslahi yao, nafikiri wamekaa wakaona kuwa kumtangaza Shafik kutafanya Tahrir iwake moto zaidi ya wa mwanzo. Nimeongea na jamaa zangu wa Egypt wananiambia kuwa Morsi is the first real Egyptian president na ushindi ulikuwa ni mkubwa zaidi ya ulivyotangazwa.

Kwa ujumla ni kwamba watu watatulia kwani ametangazwa yule waliyempigia kura. Kama Egypt police ingefanikiwa kuwafanya watu wasikusanyika Tahrir nakuhakikishia matokeo yangekuwa kinyume. Eligible voters 56m, those who voted 25M ina maana turnout ni 45%, huu ni uchakachuaji mkubwa sana waliotaka kuufanya. Kwa jinsi watu walivyokuwa na shauku ni lazima turnout ingekuwa above 75%. Onyo la G8 kuhusu army nalo limesaidia kuweka shinikizo, watu wamechoka na unrest situation ya zaidi ya mwaka.

Watanzania wajifunze kutoka kwa wamasri. 2015 tukiataka uchaguzi huru na haki tunaweza kabisa. Jeshi au polisi halitakiwi kuwaamulia wananchi kiongozi wao.
 
Hilo liwe funzo kwa wote wanaotegemea uchakachuaji kwenye chaguzi zote hapa Afrika haswa kwa ccm .kamwe uwezi kuishinda nguvu ya uma.
 
Back
Top Bottom