MoF: Awarded Tenders for the Year 2011/2012

MoF: Awarded Tenders for the Year 2011/2012

Just the Construction of Wooden Stage, Hiring of Complete Tents with Pavilion Booths,Furniture, Standby Generator and Mobile Toilet for “NaneNane” Exhibition costs TZS 79,948,540.00??
 
Nadhani katika hili wa kupongezwa ni JK kwa kutaka vitu viwekwe wazi wananchi tujue. Nani alikuwa anayajua haya? Tungeyajua lini?

Tatizo, watatuchukia kwa kulijadili hili...

Hapo umenena. Huyo ndio JK na Utoh yupo na kamati zipo, kwa hiyo sisi hatuna wasiwasi kwa sasa, watajijuwa hao wapanga bajeti namna ya kuzitumia.
 
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...

Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.

See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!
Mkuu Invisible, asante kwa taarifa hii..
(1) Usimpongeze Mkuu wa Kaya kwa ripoti hii kufika kwetu ... huenda hii imevuja (leak) tu kama siri zingine zinavyoendelea kuvuja kila siku kinyume na matakwa yake.
(2) Wa-Tz tusilalamike sana kwani tulichagua wenyewe namna ya kutumia fedha zetu kwa kuchagua aina ya kiongozi wetu. Kwa hiyo matumizi haya ni matokeo ya uchaguzi wetu...
(3) Ama kwa hakika tunapoteza muda wetu wa thamani na fursa adimu za maendeleo ya nchi yetu. Hatuwezi kufika mwezini wala kurusha satellite kwa namna hii ya mipango na matumizi ya fedha zetu.

Sasa hivi Tz imekuwa kama nchi ya watu majuha walio na almas mkononi lakini wapo tayari kuibadilishana kwa kupewa chupa fake na kisha wakabaki wakishangilia kama zuzu (JKN)

Zidumu fikra za M/Kiti wa Chama, wananchi hoyee! Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele...
Chama kitadumu milele ... na wenye wivu wajinyonge tu...
Hii ni zamu yetu, na sisi ndiyo tunajuwa nani atakayeendeleza ulaji huu ...kamwe wale watu wa kaskazini hawataweza kula kwenye meza ya dhahabu, na wale watu wa kusini tutawaangamiza kesho asubuhi..maana wanaonekana wanakodolea bakuli la nyama la mtoto wa mfalme na wale maswahaba wake .. ole wao!!!
 
Kwenye hiyo vote kuna hiki kipengele: "Medical Insurance Services for SELF II Project Staff and their Immediate Families for the Ministry of Finance = 49,919,040.00" (hii ni sawa na 50m).

Wanafamilia wana faida gani kwa taifa mpaka serikali ione ni sawa kutumia kodi na kuwalipia insurance ili wakale kuku huko Ngurdoto?

Wafanya kazi wa serikali wanatakiwa kuwa kwenye bima ya afya ya serikali ambayo kila mfanya kazi hukatwa asilimia 3 ya mshahara wake
 
Just the Construction of Wooden Stage, Hiring of Complete Tents with Pavilion Booths,Furniture, Standby Generator and Mobile Toilet for “NaneNane” Exhibition costs TZS 79,948,540.00??
Nadhani huyo ndo alikuwa 'Lowest bidder' hivyo hii bei yawezekana ndo ilikuwa muafaka. Aidha, yawezekana bidders wengine 'hawakukidhi viwango'.
 
Kama kuna kipindi kodi yetu imeliwa sana ni wakati huu wa kipindi cha huyu rais dhaifu. Pita sio wizara hii tu, utaona mambo ya kuchekesha.
Yeye akiongoza kundi la walaji.
Tutamkumbuka kwa hilo kwa kweli!
 
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...

Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.

See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!

Approximately 179 MIL for 8/8 in DODOMA...... Tufwile Nkoi
 
Nadhani huyo ndo alikuwa 'Lowest bidder' hivyo hii bei yawezekana ndo ilikuwa muafaka. Aidha, yawezekana bidders wengine 'hawakukidhi viwango'.

If so then THAT is crisis. Did they give any further explanations or elaboration on the specific items cost?
 
Pengine nitakuwa nimekosea kukusanya hizi data, lakini kwa shere mbili - Nane Nane na Uhuru, tumetumia hivi

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Sherehe za Nane Nane[/TD]
[TD]166,320,500.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shere za Uhuru[/TD]
[TD]490,475,900.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla ya matumizi ya sherehe[/TD]
[TD]656,786,400.00[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hii nchi tunaipeleka wapi? Tunapataje moyo wa kutumia kiasi hiki kwa sherehe wakati watoto wetu wanasoma madarasa mawili katika chumba kimoja na kupeana migongo?

Kuna matumizi kule yameanishwa kama Ngonjera, Nyimbo, Ngoma, Mashairi, Circus. Maneno haya, hasa la mwisho, yanafupisha utendaji mzima wa serikali yetu yaani Circus tupu!
 
Wafanya kazi wa serikali wanatakiwa kuwa kwenye bima ya afya ya serikali ambayo kila mfanya kazi hukatwa asilimia 3 ya mshahara wake

Jamani si wote wana bina ya NHIF? What the hell is this Tanzania?????
 
Pengine nitakuwa nimekosea kukusanya hizi data, lakini kwa shere mbili - Nane Nane na Uhuru, tumetumia hivi

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Sherehe za Nane Nane
[/TD]
[TD]166,320,500.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shere za Uhuru
[/TD]
[TD]490,475,900.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla ya matumizi ya sherehe
[/TD]
[TD]656,786,400.00
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hii nchi tunaipeleka wapi? Tunapataje moyo wa kutumia kiasi hiki kwa sherehe wakati watoto wetu wanasoma madarasa mawili katika chumba kimoja na kupeana migongo?

Kuna matumizi kule yameanishwa kama Ngonjera, Nyimbo, Ngoma, Mashairi, Circus. Maneno haya, hasa la mwisho, yanafupisha utendaji mzima wa serikali yetu yaani Circus tupu!

Sherehe za miaka 50 ya uhuru jumla yake ni 732 Mil , tazama kwa makini wamezitenganisha. Kuna nyingine ziko page za chini ili kuondoa kuhamaki kwa msomaji asiemakini. Tenda hizo ziko kwa mtindo wa kuchanganya changanya tazama wameacha trend ya item number 17 na kuendelea katika Item ya 22.......

Sasa uozo huu ni wa wizara MOJA (1) tu, bado mipando, miundombinu, kilimo, afya, ujenzi, katiba, Makamu wa Rais, michezo, ulinzi na nyingine...Machozi haya yanitokayo sio kwa maumivu bali hasira.
 
Nadhali ameamua kumwaga mboga baada ya wengine kumwaga ugali
 
mgomo baridi wa madaktari utazidi makali wakiona hii kitu mods itoeni haraka hii kitu.
 
Sherehe za miaka 50 ya uhuru jumla yake ni 732 Mil , tazama kwa makini wamezitenganisha. Kuna nyingine ziko page za chini ili kuondoa kuhamaki kwa msomaji asiemakini. Tenda hizo ziko kwa mtindo wa kuchanganya changanya tazama wameacha trend ya item number 17 na kuendelea katika Item ya 22.......

Sasa uozo huu ni wa wizara MOJA (1) tu, bado mipando, miundombinu, kilimo, afya, ujenzi, katiba, Makamu wa Rais, michezo, ulinzi na nyingine...Machozi haya yanitokayo sio kwa maumivu bali hasira.
Kama ni hivyo, zitakuwa zimetumika zaidi ya Milioni 89. Machozi yako na Watanzania wengine wengi hayatamwagika bure. Wao wana serikali na pesa, sisi tuna Mungu!
 
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...

Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.

See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!

IPPF (International Professional Practice Framework) kwa wale wasio katika kada hii ya ukaguzi wa mahesabu wa ndani ni kwamba; Hii ni mwongozo wa Auditing (For Internal Auditors) uliokua kuiondoa ile ya NBAA kwa upande wa Tanzania. Nimejaribu kutazana gharama za Seminar kwa VOTE 50 ni takribani TSH 136 MIL . Hapa napata mshangao kua katika Vote moja tu (Vote 50) ambapo ni makao makuu ya wizara kina Internal Auditors wangapi hadi gharama kufikia hiyo kwa trainning pekee?

How many vote do we have in Tanzania? maana yangu ya Tabora ni VOTE 85, na huko gharama ilikuaje?
Mhh mbona maswali mengi kuliko majibu?
Any one Auditing those Tenders?
 
Nadhani huyo ndo alikuwa 'Lowest bidder' hivyo hii bei yawezekana ndo ilikuwa muafaka. Aidha, yawezekana bidders wengine 'hawakukidhi viwango'.

Problem is - hao bidders wamepangwa! Anatafutwa mmoja anaambiwa alete 3 or more quotations- na kwa kuwa what matters ni process (procurement) basi ilmradi imethibitika kampuni zaidi ya 3 zimeshirikishwa - hakuna anayeangalia zaidi hata Utouh anaridhika.

I have a case in point, where the proforma invoices I was examining were from 8 suppliers and the lowest was Tshs 450,000 per item. I took time and made rounds along Samora and Zanaki Streets (about 30 minutes!) and in 5 retail shops, the price per unit was nothing like Tsh 300,000/=, the highest was Tshs 285,000/= . I went back to my boss and requested him to allow me buy from one of the Zanaki Street shop and he agreed, but the Procurement department was crossed and cried foul play, we had to forget about it! Upumbavu huu!

At Tshs 79bn, we can construct another PPF House - an entire University Campus, 40 Health Centres each at 2bn/=! Upuuzi huu- In the name of Procurement legislation sijui World Bank Procurement -we are crippling the economy!
 
Hapo tunaambiwa serikali haina pesa za kuongeza mshahara wa madaktari, kununua dawa na vifaa vingine. Lakini serikali hiyo hiyo inagharamia starehe kwa kiwango kikubwa hivi. Vipaumbele vya serikali siyo kwa ustawi wa wananchi bali ustawi wa wanasiasa na watawala
 
ICT na yatokanayo sikufahamu kuwa ni ghali kiasi hiki...! Halafu imeonekana zaidi ya mara 20...!
 
Ili kudhihirisha kuwa serikali ya CCM ni mchwa soma hapa:

"...miradi ya kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam thamani yake ni Sh899.063 bilioni, lakini fedha ambazo zimetengwa katika mwaka wa fedha 2012/13 ni Sh37.578 bilioni tu sawa na 4.17% tu ya mahitaji hayo".

Yaani hawa wakubwa wa CCM wanatumia shs 161bh kwa sherehe zisizo na kichwa wala miguu badala ya kutatua tatizo la foleni linaathiri uchumi!
 
Back
Top Bottom