Mods mmenisema sana!!mneninyanyasa sana!!mmenipiga ban sana!!kisa ni king'ast!!!!!

Pole sana mkuu, Hata mi huwa ni victim wa hizi ban za kila wiki, Kuna siku nili2mia neno Kabang eti ghafla nikala ban...!

Pole pia na ukiwa utampata tu mwenza ila waPM hawa wakuu watakusaidia kibwete bungeni Maswaswa na CHAMVIGA
 
Last edited by a moderator:
Ulinkafu? huyu mhaya kaenda tukuyu eti nairobi

Ndi nkafu panandi itolo. Huyu bwana alipita pale ofisini kwangu kuchukua clearance ya kenya airways atakuwa alikwenda nairobi kupumzika. Mkewe ana kachanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom