Niliona posts kadhaa zikielezea shida ya new JF application, sikuwa naelewa. Baada ya ku-download ndiyo nimegundua.
Kwa kweli hii new application ya JF, inaleta ugumu namna ya kuchangia, kwa sababu unapoandika, huoni hata unachoandika, ukifungua uangalie ulichoandika, kama umekosea, ukitaka kurekebisha, unapoanza kufanya marekebisho, huoni unachoandika.
Kwa vyovyote, hii new application itakuwa ililenga kuboresha na kurahisisha, lakini kwa bahati mbaya kuna maeneo imeleta ugumu badala ya urahisi.
Mods, kama inawezekana, tunaomba yafanyiwe marekebisho makubwa kwenye hii new application, maana, kwa namna ilivyo, ni tatizo.