Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Inawezekana ila mm sijui jinsi ya kuchakachua na hata ukichakachua ni Useless Modem hiyo hautoweza kuitumia na mitandao ya GSM i.e Airtel,Tigo,Vodacom,Zantel na Smart maana modem hiyo inatumia CDMA technology na Providers wa CDMA i.e TTCL kwa sasa sijui kama wataweza kukupa hizo linena huawei EC 122 za zantel zinaweza kuchakachuliwa pia?
Practically speaking hiyo modem ni useless kwa mtazamo wangu kuanzia speed ni kimeo