rweyy
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 232
- 159
Nunua yoyote ile halafu nitafute nikuchakachulie itakuwa inatumia line zote.
we unapatikana wapi? mi niko mwanza naomba contact zako
Nunua yoyote ile halafu nitafute nikuchakachulie itakuwa inatumia line zote.
Nimenunua airtel modem, nipe mchakachuo please!