Mod uchwara nakungoja

Uzuri ni kwamba member yeyote yuko huru kwenda kuangalia posts zako kwenye profile yako, na doubtless even a dog will know who you exactly are, and why!....lol!
 
Mnanikumbusha mambo ya akina MS aka malaria sugu , ambaye pia ana majina mengi na ndiyo mpiga vuvuzela kubwa la mafisadi........ !!
 
..... Pombe hizi ambazo hazitengenezwi kwa chemical formula zina madhara yake hasa ukizibwia wakati wa jua kali wakati tumboni umeshindilia ufuta na mabumunda !!
 
Sidhani kama allegations zako ni za kweli , kuna kipindi humu JF watu walizusha Malaria Sugu ni Mod, ikaja Rafiki wa Mod, ikaja anapendelewa.. lakini alipo provoke sheria za JF , akaadhibiwa kama kawaida.

kama unachokozwa ndugu jitahidi kupunguza hasira zako, hasira ni hasara.. kaa kimya kwani dawa ya mjinga ni kumu ignore
 
JamiiForums Message

You have been banned for the following reason:
Katika jukwaa la Music awards umeharibu tena kwa makusudi ukidhani mods wamelala. Jifunze kuheshimu utu wa mtu

Date the ban will be lifted: 3rd April 2011, 10:00 PM

Hili jukwaa la Music award limeanzishwa lini?
 
Back
Top Bottom