Ni mapovu tu yasiyo na sababu!
Kama unaongea hovyo hutaachwa!...Sijakumbana na Mod anayeprovoke watu!
Kuongea jambo sensitive bila kuweka ushahidi hadharani ni kupayuka!
Bwa-Mdogo, chunga kauli zako...usiwatafute watu ubaya, right?....Warned!ushahidi ni wewe mwenyewe, chunguza posts zako nyingi, mnajisahau wakati mwingine au mnatufanya mapunguani?
Bwa-Mdogo, chunga kauli zako...usiwatafute watu ubaya, right?....Warned![/QUOTE]
Kutunishiana misuli nayo ruksa eee!!!!!
Hatunishi misuli anamaanisha mkuu, ila si unajua yatima kamwe hadeki?
mnafki ni mnafki tu, mods wangekuwa wako hivyo wewe pamoja na majimshindo na hf haffif mngekuwa mmeshakula ban ya mwaka mzima, nyinyi ndio watu wasumbufu humu JF mnaowaondowa watu kwenye topics za maana ili wajibu utoto wenu huo na ukuwadi wenu wa mafisadi. mimi maisha yangu chupa naita chupa na chumvi naita chumvi na sio mkubwa wa jiko.
Na bado anazo ID zingine!..Utamjua tu kwa post zake...Tabia haina dawa!...huyu Nduka ndio huyo huyo Mohamed Shossi?:hatari: