Mobutu Seseseko wa Zaire

Mobutu Seseseko wa Zaire

Magamba wajifunze!huyu jamaa mazishi yake aibu tupu.
 
napenda sana ule wimbo wake wa kumsifia sijui aliamba nani vile?
 
Luambo yaliwahi kumkuta, baada ya mavazi ya chui chui ya Mobutu yeye kufanya mapazia ya madirisha yake, unajua nini kilimkuta?

ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa_niambie nini kilimkuta mkuu..?
 
Thread ya leo tamu km wine ya usiku asanteni sana kwa kututendea haki
 
Bilionea wa Kwanza Mweusi Ulimwenguni
Huyu namkubali sana sana.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbandu Wa Zabanga Wa Zaire.
Alikuwa na vijiko vya dhahabu.
Jumba lake la kifahari lilikuwa katikati ya msitu mnene na ni Ndege tu iliweza kufika hakuna barabara.
Keki ya birthday ilipikwa ufaransa na kuletwa Zaire(congo)
Alikuwa na Manuari ya starehe ndani ya mto Congo.
 
ALibadilisha jina lake la Josefu na kujipa hayo majina mengimengi
Ikufuatiwa na raia wake kwa mfano.
Franco..akawa Lwambo Makiadi..(aliukataa Uzungu)
Na pesa yao faranga ikaitwa makutaa
 
Luambo yaliwahi kumkuta, baada ya mavazi ya chui chui ya Mobutu yeye kufanya mapazia ya madirisha yake, unajua nini kilimkuta?

ha ha ha ha ha hata mimi natamani kujua ni nini kilichomtokea
 
huyu raisi alikorofishana na mwl. nyerere baada ya mwl. kumwambia mobutu anaongeza nchi kidikteta na kuwauwa wapinzani wake . Mobutu alimjibu mwl Zaire si tanzania kama haamini wabadilishane nchi na kama atakubali kuwa raisi wa Zaire hatamaliza hata miezi mitatu atapinduliwa na mwanamke mwl akaona hiyo kauli ya dharau kwake akachukia mazima . akaanza kuwatrain akina kabila ili wamtoe madarakani
 
Huyu namkubali sana sana.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbandu Wa Zabanga Wa Zaire.
Alikuwa na vijiko vya dhahabu.
Jumba lake la kifahari lilikuwa katikati ya msitu mnene na ni Ndege tu iliweza kufika hakuna barabara.
Keki ya birthday ilipikwa ufaransa na kuletwa Zaire(congo)
Alikuwa na Manuari ya starehe ndani ya mto Congo.


Aisee...
 
Back
Top Bottom