Mobutu Seseseko wa Zaire

Mobutu Seseseko wa Zaire

Utakumbukwa sio kwa Pesa, majumba na utajiri ulioacha ila ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
 
Huyu alitembea na shemeji yake, yaani pacha ya Mke wake alikuwa kama mkewe. Alikuwa anapiga mtu na pacha wake,Ama kweli pesa siyo kila kitu maana alikufa kwa cancer ya tezi dume.Halafu kama ni pesa Jamani aliitumia, maana alishawahi fanya birthday ya Mke wake,tusingewajua ufaransa akaalika wageni wazito wazito hadi raisi wa ufaransa alihudhuria. Tafuteni documentary inaitwa ROI DU ZAIRE. Wacongo walimuabudu kuliko hata Mungu. Jamani Mobutu aliimbiwa nyimbo za kuabudiwa na kuombewa kuishi milele

Mkuu kuna dhambi gani kumla shemeji yako?
Yaani dada au mdogo wa mke wako??
 
uko paris alikua anafuata maji ya kunya au toilet paper?
 
Alimuua Lumumba!

Alimuua Lumumba wapi na lini?Get your facts right usifuate mkumbo.Wakati Patrice Lumumba akiuawa Mobutu hakuwa Rais wa Congo .Rais alikuwa Joseph Kasavubu. Huyu alipinduliwa na majeshi na Mobutu akawa kiongozi mwaka 1965.
 
Alimuua Lumumba wapi na lini?Get your facts right usifuate mkumbo.Wakati Patrice Lumumba akiuawa Mobutu hakuwa Rais wa Congo .Rais alikuwa Joseph Kasavubu. Huyu alipinduliwa na majeshi na Mobutu akawa kiongozi mwaka 1965.

Kwa hivyo aliuawa na nani?
 
Patrice Lumumba aliuawa na majeshi ya kibaraka Tschombe wa jimbo la Katanga chini ya usaidizi wa majeshi ya Belgium. Alipigwa risasi na firing squad tarehe 17 January 1961.Aliuwawa akitetea nchi yake. Ni mojawapo wa viongozi mashujaa na wasio vibaraka katika Bara la Afrika.
 
Je familia yake ipo pia? Yatafika Tz tu siku zaja.
 
Huyu namkubali sana sana.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbandu Wa Zabanga Wa Zaire.
Alikuwa na vijiko vya dhahabu.
Jumba lake la kifahari lilikuwa katikati ya msitu mnene na ni Ndege tu iliweza kufika hakuna barabara.
Keki ya birthday ilipikwa ufaransa na kuletwa Zaire(congo)
Alikuwa na Manuari ya starehe ndani ya mto Congo.

Mhubiri anasema: Huo wote ulikuwa ni "ubatili tu na kujilisha upepo". Ndio maana aliishia kufia nje ya nchi na kuzikwa kama mbwa koko na tena na watu wane tu
 
Haka ka uzi katamu sana kusoma kila wakati
Napingana na watu wanaosema tugugo,ukigugo huwezi kupata machopochopo kama haya
 
Back
Top Bottom