Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
- Thread starter
- #41
ALibadilisha jina lake la Josefu na kujipa hayo majina mengimengi
Ikufuatiwa na raia wake kwa mfano.
Franco..akawa Lwambo Makiadi..(aliukataa Uzungu)
Na pesa yao faranga ikaitwa makutaa
Hata Moise Katumbi wa Tp Mazembe nae yalimkuta hayo, Alilazimika kubadili jina.