Mobutu Seseseko wa Zaire

Mobutu Seseseko wa Zaire

zamani bila ubabe ulikuwa unapinduliwa kirahisi sana tofauti na leo ukimpindua mwenzako utawekewa vikwazo na UN mpaka ukome

Ni kweli mkuu, hata hapa kwetu Mwalimu nae alikuwa mkali kidizaini mpaka hata kufikia kutofautiana na baadhi ya viongozi wenzake kama akina Kambona
 
Mabutu alikuwa na watoto wanggapi na wako wapi?

Na nini kilisababisha kifo chake na alizikwa wapi??

Wakuu naombeni muendelee kutunakishia uzi huu

Alizikwa Morocco! (Uhamishoni) tena ni watu wachache sana waliohudhuria mazishi yake pamoja na kuwa na utajiri mkubwa sana, naamini tumepata cha kujifunza.
 
Asante sana.Na wewe karibu kwenye sports maana umepotea sana.

Haya ntajitahidi nisiwe napotea sana huko! Tatizo kila siku mnashinda nyinyi tuu yaani hata suluhu hamtoi
 
Msisahau aliifanya fedha ya Zaire kushuka thamani na baadhi ya wanajeshi kukosa hata viatu.

Tukiwa wadogo kuna Mzaire mmoja alimpa dem wake wa Kibongo kama laki mbili baada ya siku kadhaa za mapenzi, binti akajua ameukata akaenda Benki kwa nyodo lakini chenji aliyopewa hana hamu mpaka Leo.
 
teh teeh teeh!
 
Bilionea wa Kwanza Mweusi Ulimwenguni
attachment.php

General Mobutu Seseseko Kuku ng'wemba wa Zabanga Bilionea Mweusi wa kwanza duniani aliyekufia uhamishoni nchini Morocco.
 
Alimuua Lumumba!

Na hawa watawala wetu nao walimuua MWANGOSI!!! Wakumbuke kitu kimoja tu hapa duniani hata ukiwa na magari MIA MOJA YA KIFAHARI chooni ni lazima uende kwa miguu!!!
 
Hapana, ndio kwanza naskia kwako! Ninavyojua alikuwa dikteta haswaa...

  • quote_icon.png
    By lancanshire
    Nasikia alikuwa mchawi Sana.

    Hapana, ndio kwanza naskia kwako! Ninavyojua alikuwa dikteta haswaa...​

Kuna hadithi kwamba sebuleni kwake
alikuwa kikaa na chui.
Wakati anakuhoji ukimdanganya
Chui ana naninhii
 
Na hawa watawala wetu nao walimuua MWANGOSI!!! Wakumbuke kitu kimoja tu hapa duniani hata ukiwa na magari MIA MOJA YA KIFAHARI chooni ni lazima uende kwa miguu!!!

hahaha...
 
  • quote_icon.png
    By lancanshire
    Nasikia alikuwa mchawi Sana.

    Hapana, ndio kwanza naskia kwako! Ninavyojua alikuwa dikteta haswaa...​

Kuna hadithi kwamba sebuleni kwake
alikuwa kikaa na chui.
Wakati anakuhoji ukimdanganya
Chui ana naninhii

duuuh!
 
GABODLITE AIRPORT, hata Concord ilikuwa inaweza kutua
 
nasikia mobutu alienda Ufaransa
sasa akafikia hotelini,katika chumba chake kulikuwa kunatoka moshi wana usalama wa ile hotel na wa Ufaransa walidhani chumba cha Rais kina waka moto,kumbe kuingia ndani wakakuta jamaa kachoma udi na ubani moshi kila mahali...
 
Huyu alitembea na shemeji yake, yaani pacha ya Mke wake alikuwa kama mkewe. Alikuwa anapiga mtu na pacha wake,Ama kweli pesa siyo kila kitu maana alikufa kwa cancer ya tezi dume.Halafu kama ni pesa Jamani aliitumia, maana alishawahi fanya birthday ya Mke wake,tusingewajua ufaransa akaalika wageni wazito wazito hadi raisi wa ufaransa alihudhuria. Tafuteni documentary inaitwa ROI DU ZAIRE. Wacongo walimuabudu kuliko hata Mungu. Jamani Mobutu aliimbiwa nyimbo za kuabudiwa na kuombewa kuishi milele
 
Back
Top Bottom