Mobile Phone Numbers Generator - Marketing & Data Sampling tool

- Even For Spammers
1f603.png


- 95% of numbers generated are guaranteed to be available!

[ Download Link ]

Mobile Number Generator.msi
Ivi akina tatu mzuka na wenzake c wanatumia hii ila wanachokifanya wana hard code namba ya mdau wao
 
- Even For Spammers
1f603.png

- 100% Unique Numbers in list of Numbers generated. (No Duplicates!)
- 95% of numbers generated are guaranteed to be available!
- Fast & Efficient Algorithm

[ Download Link ]
hii njia ndio wale matapeli wanajiita waganga wajadi ndio watakuwa wanaitumia
 
Wabongo tukituliza akili zetu na kuwaza mambo ya kuleta maendeleo tutafika mbali sana.

Wengi hutumia njia hizi kwa utapeli na si kujiingizia kipato kwa uhalali.
 
namba za airtel ni 068x-xxxxxx hamna 078x,
halafu ukiweka large number kama 10000, uki select inaganda(not responding)
ndo niliyoyaona fasta fasta
Untitled.png
 
Kuna baadhi ya software hazikutakiwa achiwa hadharani kirahisi hivi lakini utafanyaje ndio Utandawizi wenyewe!!..
Kuwepo kwa machina kumefanya dunia ya kibepari sana kuisha.
Mfano dunia ilishafanya kwamba Africa iwe ni kwa ajili ya bidhaaa za mtumba lakini ndio ivyo mchina kaingilia ubeberu
 
Hahaha mi sijui namba yako man... 'algorithm' iliyotumika apo inatengeneza namba zote zilizo katika mtandao husika... hivyo hakuna uchawi mkali
Kweli hakuna uchawi, mfano

Tigo ya 0713 ina Jumla ya namba milioni moja, yaani

0713-000000 n=1
0713-000001 n=2
0713-000002 n=3
0713-000003 n=4
0713-000004 n=5
.........
.........
.........
0713-999999 n=1000000
 
Back
Top Bottom