Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,170
Ambaye anahisi mtu anaweza tengeneza software ya kugenerate voucher anajidanganya.
Kuna random na pseudo random, kwenye computer numbers zinakua generated pseudo randomly, yaani ukiwa na seed unaweza generate random number katika sequence ileile, so sio true random. Lakini zipo crypto algorithms za kugenerate random numbers ambazo ni very efficient at randomizing stuff, na hizo ndiyo wanatumia kwenye vitu kama voucher, generated numbers zipo very random hakuna kitu kama having the same seed ukapata same numbers.
Sasa kama unahisi utapata algorithm itakayogenerate vocha endelea kuota.