Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cronique, Feb 3, 2011.

 1. c

  cronique Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wakuu?
  Jamani ningependa kuelimishwa kidogo kuhusu kampuni za simu Bongo zinavyo fanya kazi. Nina maswali haya

  1: Mtu yeyote anaweza kufungua kampuni?
  2: Is there a price agreement imewekwa na government? kwamba lazima bei ziwe kiasi flani? au is it a free market?
  3: Kuna ugumu wa kupata license (mambo ya kuonga)
  4: Unaweza ku rent minara ya airtel kwa mfano au lazima mtu awe na minara yake?

  Jamani kiswahili kina nichenga kidogo, mtanisamehe.
   
 2. E

  Egongos Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13


  Majibu Kwa Maswali yako:

  1. Ndiyo mtu yeyote anaweza kuanzisha kampuni ya mawasiliano kama ni mzawa, lakini kama si mtanzania inabidi kuingia ubia na mzawa na mzawa awe na hisa zisizo pungua 35%

  2. Hakuna price tag ya namna yoyote inayosimamiwa na serikali, lakini iko regulated kwenye interconnection fees tu.

  3. Hakuna ugumu kupata leseni, ili mradi uthibitishe uwezo wako kifedha(Mtaji) na Utaalamu kwenye nyanja husika

  4. Renting iko enforced sasa hivi hasa baada ya kutungwa sheria Mpya EPOCA(2010)

  Natumaini Nimekujibu, kwa maelezo zaidi tembelea website ya regulator www.tcra.go.tz utapata maelezo ya kutosha, au niandikie kwa maelekezo kwenye selestine.egongo@gmail.com

  Asante
   
 3. c

  cronique Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Egongo.
  Asante sana kwa maelezo yako. Yani umejibu yote tu vizuri. Nita save e-mail yako incase nitakuwa na maswali mngine. Kwa kifupi ni kwamba its too expensive kupiga simu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingi tu, especially za huku ulaya. Sasa makampuni makubwa makubwa yote yanakosa wateja kwa sababu zinafunguliwa kampuni ndogondogo ambazo zina rent minara kutoka kwenye kampuni kubwa halafu price zao ziko chini due to hawana administration kubwa na pia organization zao are well streamlined. Nafikiria kuanzisha kitu kama hichi Tanzania, iwapo itawezekana. Kwa sababu I am sure market bado ni kubwa tu sana, there is space for more mobile phone providers na wateja wapo wa kutosha. You something like Eazyjet ya simu. Cheap, straight and simple.
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  upo nchi gani,mfano wa kampuni ndogo ndogo ni zipi?
  kuna swala la kupata leseni.hapo ndo pagumu,kuna kampuni ilikuja walishindwa kupata leseni,kwani akina Vodacom and co walipiga campeni za underworld hawakupata jamaa wamekuwa frastrated sana.ndugu zingatia leseni ukipata the rest is easy.

   
 5. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapa US kuna kampuni inaitwa Criket. For example you just pay a flat rate of $40.00 a month for unlimited text and local airtime 24/7. Ambapo kwa style yao wakija hapo Dar ama bongo basi jamaa wengine wote watafunga biashara zao. Nyumbani gharama za simu ni ghali mnoo.
  Zipo nyingine kama Boost Mobile etc.
  Nahisi kuna mkono wa mafisadi in the telecom sector. I'm sure Kricket/Cricket wakiomba licence ya ku-operate bongo watanyimwa. Correct me if I'm wrong.:clap2:
   
 6. c

  cronique Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Niko Denmark, ha hapa sasa hivi kuna kampuni inaitwa Onfone ambayo imewateka sana wateja wa makampuni makubwa. wana package kama hivi: Ongea 15 hours per month local mobile, local landline na 70 countries landline. Unlimited SMS, MMS na 1GB data. for around 65000TSH per month. Sasa ukiangalia Bongo dollar tano tu haupati hata dakika 10.

  Lazima najua kwa Bongo kutakuwa na vikwazo tu kama hiyo leseni kuipata, lazima kuna wakubwa wanabania.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kiswahili kinakuchenga? Kwani hukwenda shule?
   
 8. c

  cronique Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na wewe hukwenda shule? Ungekuwa umeenda shule, ungejua kwamba kiswahili hakifundishwi kwenye shule zote duniani. Mimi sijasoma shule Africa, niliondoka Tanzania nilivyokuwa na miaka kumi, sasa hivi nina miaka 33. Kwahiyo baada ya miaka 23 naona najitahidi sana na kiswahili.
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  acheni malumbano yasiyo na msingi, endeleani na mada yenu wengine tunajifunza kupitia nyie. naomba niseme hivi kwa ninyi ndugu zetu mulio nje, mdivunjike moyo na matizo yaliyopo kwenye uongozi mfano leseni n.k huku ni Afrika matatizo vikwazo vipo katika kila kitu unachotaka kufanya lakini msivunjike moyo . njooni nyumbani wekezeni ili muwape ajira vijana wenzetu. Hakuna kikwazo chochote kitakachokufanya ushindwe kabisa kuwekeza.
   
 10. E

  Egongos Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13

  Hao waliokosa Leseni hawakujua taratibu, TCRA hawezi kutoa leseni kama hakuna Masafa(Frequencies) na hizo aina ya Kampuni anazoongelea zinaitwa Virtual Operator they don't owner a network they just offer service by leasing Infrastructure from Big Operator kwa hiyo kama hao walokosa leseni labda walikuwa wanataka kujenga Infrastructure zao wenyewe ambazo zinahija Frequencies. Hapa Tanzania yapo pia yanatoa huduma kwa kutumia infrastructure za makampuni makubwa. Mfano ni haya hapa: Rural Netco Limited C/o Ericsson Tanzania Limited
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Great Idea...unachelewa.....:coffee:
   
 12. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  leseni hazitolewi na hao TCCRA,hata ufuate utaritibu upi!!!hii ndiyo bongo,angalia share holders wa Zain,ni viongozi wa juu including ministers and ex-ministers.Vodacom share holder mkubwa wa tz ni Ex-mweka hazina wa CCM, mimi sisemi sana lakini hapo ndo ujue hali ya mobile phone operators in Tz,having said that haizuii mtu kujaribu tena na tena na tena mwisho wanaanchia
   
 13. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu usione hizo bei ukachanganyikiwa......hiyo kampuni ikija bongo itakuwa na bei za kibongo....unajua kwa nini?

  INFRASTRUCTURE!!!!!

  bei hizo zinawezekana marekani na kwingineko kwa sababu wana hi-tech fiber network, na wireless comminication ni kwa ajili ya end-point delivery tu. Hapa bongo tokea sauti inatoka kwa operator mpaka inamfikia mhusika ni hewani tu.....ambayo ni very expensive na very inefficient.

  Infrastructure ya Tanzania hairuhusu bei za chini kama ulaya.......ndio maana ingawa tulikuwa na internet kwa muda, ni baada ya SEACOM kufika ndio bei zimeenda chini.....kwa sababu wired communications ni cheaper kuliko aerial.
   
 14. m

  majiyashingo Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh kweli haya ni mawazo ya busara sana Je akitokea m tu mbaye anaweza kuanzisha kampuni inayodeal na minara tu ambayo atakuwa akikodisha kwa makampuni yoyote ya hizi simu unahisi kuna faida je kuna sheria zozote zinzoregulate?
   
 15. T

  Taso JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Dollar 5 ni shilingi 7,500 takriban. Vocha ya 7,500/= unaweza kuongea zaidi ya dakika kumi mtandao wowote ule. Sijui hesabu zako unafanyaje. Na lugha nayo unasema inakusumbua, sasa hapo sijui tusaidiane vipi.
   
 16. c

  cronique Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Taso !! Tafadhali ndugu yangu, kama hauna cha kuchangia. It is fine, siyo lazima uandike chochote. Maanake so far hamna chochote ulicho andika chenye manufaa kwenye hii topic.
  Please speak when you have something wise to share with the rest of us otherwise try the udaku and mambo yasiyokuwa na maana area, because that is where you belong. I am done with you.
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Jibu hoja, habari zako za "udaku" weka pembeni:
  Mtandao gani umejaribu Tanzania ukashindwa kuongea dakika 10 kwa vocha ya 7,500/= ??

  Huo ni udaku? Au huelewi kinachoandikwa, maana umesema lugha inakusumbua.
   
 18. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Najisikia Vibaya sana watu wanaporumbana,

  To win others, Learn their strength/wickness and take as a challenge to you!!
   
 19. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  :focus:
   
 20. T

  Taso JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  wanapolumbana

  weakness


  Hivi udhaifu wa mwingine utauchukuliaje kama "challenge to you"? Hahahahahha........ Mfano, mtu anasema hajui Kiswahili, hiyo ni challenge kwangu mimi? heheheheee...Duu!

  Nimehoji swala lililoletwa na mtoa mada. Ni mtandao gani huo ambao 7,500/= haitoshi kuongea dakika kumi?
   
Loading...