Mobile phone applications

Mobile phone applications

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Hi
Nisaidieni namna ya kupata applications compatible na simu yangu LG X330
 
kwa kutumia simu yako. Fungua: m.getjar.com, simu yako itatambuliwa na utapa application ambazo ni compatible na simu yako. Pia tembelea hii site: wap.ucweb.com ili uweze kupata browser.
 
kaka download ucweb kama wewe ni beginer toka link ya huyo jamaa na utakuta makumi ya web zimeseviwa kama shortcuts na utafaidi application za simu yako
 
kaka download ucweb kama wewe ni beginer toka link ya huyo jamaa na utakuta makumi ya web zimeseviwa kama shortcuts na utafaidi application za simu yako
UC ni nzur ina shortcut nyingi.
 
Back
Top Bottom