A
Anonymous
Guest
NACTVET watuongezee muda wa kufanya application round ya pili, maana wao ndiyo wanatukwamisha hawatatui changamoto kwa wakati ukiwafata ofisini kwao wanadharau mnoo na simu hawapokei kabisa.
Nimemaliza Diploma, Chuo Kikuu cha Iringa nimechukua Cheti na Transcript ina GPA nzuri ila nikifanya application nikiingiza AVN Number inaleta GPA below 3.0, nimefuatilia chuo tangu July mpaka leo hakuna mafanikio, inaumiza kwa sababu hakuna dalili za mafanikio halafu majibu ni kwamba tu wanafuatilia, inaumiza mnoo, wamenisababishia depression sometimes unajiona useless kabisaa.
Mpaka nimefikia hatua hii hata NACTVET wamenijibu kwamba hawawezi kushughulikia nifuatilie tu chuo na chuo wanasema tusubiri haohao NACTVET.