Mobile Jamming system car

Ana kipi haswa cha ziada cha kutumia ulinzi wote huo zaidi ya uzandiki na upuuzi uliochangamana na ulofa wenye maziwa ya ng'ombe wenye kila dalili za usaliti kwa wanyonge wake.
 
Hahahaa!! Hiyo ikiwa inapita Network haisomi, huwezi kupata mawasiliano ya simu ukiwa jirani na Hilo dude, ni kama Mita kadhaa hivi
Kulikuwa na wasiwasi wa vilipuzi? Kwahiyo nalo linabidi lishitakiwe kukata netiweki za simu za watu? Linapata mamlaka ua kutoka wapi kuzuia watu waaiwasiliane likiwa jirana nawee?
 
Inaitwa 'mobile jammer'. Kazi yake ni kuzuia au kuintercept RF signals zinazotumika kudetonate radio controlled BOMBS. Kwa kiswahili rahisi kazi yake kuzuia milipuko ya mabomu yanotumia remote control. Yaan mtu anaset bomu labda barabaran au sehem yoyote utakapo pita msafara wa rais then analilipua kutoka mbali kwa kubonyeza kitufe au remote control inayotuma singals kwa GPS ya satellite kwenda kwenye receivers ndan ya hilo bomu ili ilo bomu lilipuke. Sasa hili gari lina vifaa vinavyo 'jamm' RF signals zote katika eneo la mzunguko wa radius ya km 6 mpaka 32km kulingana na muundo wa gari lenyewe na technologia husika. Kwa hiyo purpose ya hili gari na vifaa vyake ninkumprotect Rais na his presidential motorcade from 'any form of Radio controlled BOMBS'.
 
Kaka hasante kwakweli aikujua kabisa kazi yake. Sikuuliza kwa kukejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…