Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,383
Duuu sijaijua ni nn hii Boss [emoji16][emoji16][emoji16]au inanasa mawasiliano ya simu ya watuKaribuni mchangie
Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipukaWakuu habari
Hii kitu nimeiona kwenye Uzi mmoja hivi nikaona sio mbaya kuja kuuliza kupata ufafanuzi zaidi.
Lina faida gani katika ulinzi wa Raisi na mambo mengineView attachment 954700
Du.Watu na maujuzi yenu.Ahsante mkuuNow Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
safi, je lipo bongo au ni saundi?Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
Mara ya Mwisho limeonekana Arusha Boss wangusafi, je lipo bongo au ni saundi?
Moja ya kazi zake ni kukata mawasilino ya simu. Adui wasiwasikiane eneo la mheshimiwa mpka awe ametokomea.Duuu sijaijua ni nn hii Boss [emoji16][emoji16][emoji16]au inanasa mawasiliano ya simu ya watu
Nimecheka mnoRais wa wanyonge anayeogopa kulipuliwa na wanyonge.
Ila itakuwa limenunuliwa siku za karibuni,huyu bwana ana wasi wasi sanasafi, je lipo bongo au ni saundi?
Rais wa wanyonge anayeogopa kulipuliwa na wanyonge.