jimmy jay jay
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 223
- 39
Habari zenu wakuu?baada ya kukusanya ka mtaji sasa nimenunua machine za kunyoa nywele, sterilizer na vifaa vingine.Lengo langu ni kulenga kundi la watu kwa kua na mobile saloon(salun).
Hapo nimelenga:familia,shule za boarding,vituo vya wototo yatima etc...,
Kwa mfano kuliko watoto ambao wanakaa bwenini watoke nje kwenda kunyoa,mimi nitakua nawafuata shuleni na vifaa vyangu niwanyoe harafu 10% ya mapato yangu ya hio siku atabaki shuleni kwa jili ya umeme niliotumia.
Wanafunzi zaidi ya 50 nitawanyoa kwa bei ya sh 500 kila mmoja na chini yawanafunzi 50 nitawanyoa kwa sh.1000.
Mimi kazi yangu ni kunyoa na ni kinyozi mzuri napatikana dar es salaam/buza nawahakikishia huduma nzuri na salama kwa sababu itapunguza wanafunzi kutoka nje ya shule kwenda kunyoa na kukutana na vishawishi huko na watakua wasafi kila siku.
Kwa mawasiliano nitafute kwenye namba 0652002828.
Tafadhal wafahamishe wakuu wa shule,ndugu na marafiki kwa hii habari .
Karibu sana na kama kuna ushauri naupokeya kwa furaha.
ASANTENI SANA.