Mobile barbershop, karibuni kwa huduma nzuri

Mobile barbershop, karibuni kwa huduma nzuri

Wazo zuri mkuu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Kitu kikubwa cha kufanya andaa business card sambaza hizo sehemu utakapokua unaenda kuongea nao itakusaidia sana pindi wakikuhitaji wanakutafuta kiurahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umetoa ufafanuzi mzuri sana ...
Ona hii .. miaka ya 2000 uandaaji wa mitihani ilikuwa deal, walimu wakanunua computers, wakanunua photocopy wakaweka majumbani kwao wakawa wanafanya wenyewe ...
miaka ya 2005+ Id za wanafunzi zikawa deal .... walimu wakanunua camera, laptop, laminating machine ... hiyo ikavurugika ...
Hivyo hivyo hata hii wataivuruga tu...
Mawazo mgando yenye chembechembe za wivu.

Sent from koromije using bashite
 
Back
Top Bottom