tafuta adapter ya tv simu yako haina MHL, nunua adapter kama ezcast then chomeka kwenye tundu la hdmi halafu eka on connect na simu then utaiona simu kwenye tvNatumia samsung A8 naombeni msaada jamani
mkuu mahala niliponunua yangu hawauzi tena sifahamu duka jengineChief mkwawa inapatikana wap hiyo ezcast mkuu
jina muhimu mkuu zipo nyingi hizo samsung flatSamsung flat mkuu
mkuu nina hp 15 notebook naomba link yakudownload usb drivermkuu mahala niliponunua yangu hawauzi tena sifahamu duka jengine
ipo hii ya kupatana ila ni 130,000 kwa muono wangu ni expensive
WIRELESS DISPLAY CAST SCREEN RECEIVER Dar es Salaam 6605508
lipo hili box la 180,000 nalo lina miracast
SMART MEIDA HUB- ANDROID TV STICK Dar es Salaam 58477584776
unatumia tv gani? pengine nayo ina miracast
ni usb 3 au? rangi zake ni blue? pia hilo jina la pc halijakamilikamkuu nina hp 15 notebook naomba link yakudownload usb driver
yeah ni hp 15 notebook pc mkuuni usb 3 au? rangi zake ni blue? pia hilo jina la pc halijakamilika
yeah ni hp 15 notebook pc mkuu
Sijawahi kuwa na hiyo tabia ya uvivu. Inawezekana wewe ndio vivu kwa kuwa hukuona hizo adons.Wee jamaa mvivu,mobdro mbona iko poa haina hata adons
Mkuu imebidi niipige picha jina lingine sionjina muhimu mkuu zipo nyingi hizo samsung flat