GE2025 MO29 is the day that marks the beginning of an end

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3,530
Reaction score
6,917
RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha.

Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike.

NRNE imefeli.

Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira.

Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba kura nying namna ile.
Imagine wanafanyaje wakiwa kwenye maprojects yao ya kupeana na kugawana hela za Kodi ya waTZ?. Kule Ambapo Raia hatuwaoni.

Na Hili ni muendelezo wa yale ambao walikuwa wanafanya kulinda Ufisad wao.

Walianza na kutekwa na kuuliwa kwa Polepole. Kuwekwa ndan Heche,
Kumzuia Mpina asiogombee Uraisi, kumweka gerezani Lissu.

Haikutosha hapo. They DARE kumwaga damu za Raia wengi sana MO29.😢😢😢😢

Hii Inaonyesha how far they DARE to go in order to protect thier power and interest.

They Dare and Went far beyond this time.
But ONE Day, the PEOPLE will also DARE and GO beyond.

Ipo siku. Ipo Siku...
It was not Oct 29. But that day will come.

The Day will come when People will DARE to go far way and with better plans than MO29...

And MO29 will be remembered as a day that marks the beginning of their end.
 
appoh Maridhiano ni Danganya toto.
Na ishakuwa kama Desturi yao miaka na miaka.

Ndan ya siku 100 wanaunda tume ya maridhiano. Wanaenda kusikiliza vyama pinzan na Wananchi. Tume
Inaandika maon ya hao wadau na kuikabidhi serikali.

Then what?.
Hawajawah fanyia kazi hayo maridhiano. Ukiacha yale ya ZNZ tu.

Inahitajika mabadiliko na sio Maridhiano.

Chauma na ACT walisema watalinda kura zao.

Kiko wap? . Karibia 3/4 ya watu hawajapiga kura. Sasa 32 Mill votes zimetoka wap?.
 
RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha.

Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike.

NRNE imefeli.

Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira.

Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba kura nying namna ile.
Imagine wanafanyaje wakiwa kwenye maprojects yao ya kupeana na kugawana hela za Kodi ya waTZ?. Kule Ambapo Raia hatuwaoni.

Na Hili ni muendelezo wa yale ambao walikuwa wanafanya kulinda Ufisad wao.

Walianza na kutekwa na kuuliwa kwa Polepole. Kuwekwa ndan Heche,
Kumzuia Mpina asiogombee Uraisi, kumweka gerezani Lissu.

Haikutosha hapo. They DARE kumwaga damu za Raia wengi sana MO29.😢😢😢😢

Hii Inaonyesha how far they DARE to go in order to protect thier power and interest.

They Dare and Went far beyond this time.
But ONE Day, the PEOPLE will also DARE and GO beyond.

Ipo siku. Ipo Siku...
It was not Oct 29. But that day will come.

The Day will come when People will DARE to go far way and with better plans than MO29...

And MO29 will be remembered as a day that marks the beginning of their end.
NRNE haikuferi. Imefanikiwa sana, Jiulize ule uliofanyika ni uchaguzi wa rais na wabunge toka vyama pinzani hapa nchini au ulikuwa ni uchaguzi wa ccm pekee. Subiri wenye dhima yao waje.
 
NRNE imesikika.

Ila uchaguzi umefanyika.
Walijipanga kwa namna yoyote ile hata wote tusingeenda kupiga kura. Wangehesabu tumeenda. Na ndio kilichotokea.

Inahitajika kuwe na Better Plans ahead.

NRNE ndio lengo.
MO29 tuyabebe moyoni na akilini.
 
Back
Top Bottom