tuitumie vzr mitandao ya kijamii tusijekuijkuta tupo mikononi mwa Dora, mwandishi kuwa makini acha vyombo husika viwe vinatoa taarifa unaweza kujikuta upo matatani ukiendelea kuwa msemaji,maoni tu
Zinatafutwa bilioni Moja mkuu kwa mtundo huo, na zikipatikana basi MO utamuona masakiMO kaleta shida kubwa kwetu madereva,tunapigwa faini za barabarani zisizo za haki na askari walitapakaa kila mahali.
Nguvu ya Mungu haidhihakiwiSasa nani asiyetaka Moo apatikane? Pigeni Dua tuone, leta wachungaji, mashekhe, waganga uone kama sio usanii
Nguvu ya Mungu haidhihakiwi
HahahNimewaza ilo pia[emoji16][emoji850][emoji16]
tuitumie vzr mitandao ya kijamii tusijekuijkuta tupo mikononi mwa Dora, mwandishi kuwa makini acha vyombo husika viwe vinatoa taarifa unaweza kujikuta upo matatani ukiendelea kuwa msemaji,maoni tu
Utafkiri mi ccm.Dah aisee,kuna mijitu humu inasema kajiteka