MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,025
Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.
Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.
Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata

...