Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
 
Sasa huyo James Mwakasagule ni nani pale Mo Foundation?

Nahisi utakuwa umeingia 18 za matapeli. Vingi mkuu, hela Yako haijapoteam Christmas hii kuna familia imekula vizuri kwasababu Yako
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Mkuu Umepigwa na Matapeli wa FESUBUKU..
MO FOUNDATION ILISHAACHA KUFANYA KAZI..
NA ILIKUWA HAITOI MKOPO...
ILIKUWA INAFADHILI MASOMO..
NIMEONGEA KWA HERUFI KUBWA ILI NIKUFOKEE
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Umeliwa kijana.
Tatzo mko speed sana.
Kabla ya kufanya jambo jaribu kufanya hata survey kidogo, hata fatilia comment utapata highlights au uliza kwa watu wako wa karibu.
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Pole mkuu, sasa kweli Mo Foundation iwe na jina la Mwakasagule😂.
Wewe itakuwa ni wale mnaona namba za kujiunga Freemason na pesa za majini kwenye nguzo za umeme na mnapiga. Na zile za 'mtaalam kiboko Dk. Kazimoto kutoka Tanga'.

Hiyo ni ada umelipa
 
Habari!
Hawa jamaa niliomba mkopo wa laki 5 na nikaambiwa nilipe fees 52,500 ili nipate huu mkopo baada ya kupokea malipo waka block namba zangu.

ALP9BP9NU1F Confirmed. JAMES MWAKASAGULE has received Tsh 52500 on 25-DEC-23 09:27:32.747.
Hukuwahi kuelewa hata foundation ya mo inakazi gani?🤣🤣
 
Attachments

  • AEF31542-1F2B-4DCA-87FD-714D36BB025A.jpeg
    AEF31542-1F2B-4DCA-87FD-714D36BB025A.jpeg
    64.8 KB · Views: 17
Back
Top Bottom